Huyu housegirl ana maana gani?

Dhambi ya kwanza kuingia Duniani ni Uzinzi nafikiri pia itakuwa dhambi ya mwisho maana inavunja rekodi
kila mwaka
kila mwezi
kila wiki na
kila siku.

Tafakari! Uamuzi ni wako!
 
Wakati mwingine ni ngumu kuelezea baadhi ya mambo na mtu husika...
kwani uamuzi wa kutoshawishika na mitego ya house girl wako ulipewa na nani???

Kipi kimebadilika hadi uombe ushauri?
 
Mpotezeee huyo binti ukila tu hamuachi tena mtanga.... we endelea kupitiliza hadi wife arudi
 
😤😤😤😤😤😤😤😤 weka picha
 
Sidhani Kama haya uliyoandika hapa ni ya kweli maana haingii akilini binti wa wiki mbili tangu aingie mji asioufahamu aanze upuuzi huo labda uwe ulishaanza wewe kuonyesha kumtaka ama atakuwa ni mtego kutoka kwa mkeo baada ya kutilia shaka tabia yako. Hata hivyo ninahakika mitego kutoka kwa mtu yeyote inategemea na jinsi mnavyochukuliana. Kuwa serious na ndoa usijejuta mpaka siku utakapoingia kabirini.
 
Dhambi ya kwanza kuingia Duniani ni Uzinzi nafikiri pia itakuwa dhambi ya mwisho maana inavunja rekodi
kila mwaka
kila mwezi
kila wiki na
kila siku.

Tafakari! Uamuzi ni wako!
thibitisha
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom