Huyu Hapa shabiki wa Simba aliyefariki ktk ajali akitokea Dodoma

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
18698538_1486425388094475_271514689637242355_n.jpg

Pumzika kwa amani Shose Wazza Scholes Fidelis, msichana aliyefariki katika ajali ya gari akitokea kuitazama timu yake Simba kutoka Dodoma. Alikuwa ni shabiki mkubwa wa Soka akisapoti timu za Simba na Manchester United.
 
Hapa ndipo tunapotakiwa kumuogopa mungu na kumsujudia mipango yote anayo mwenyewe,mwenyezi mungu awape subra familia ya marehemu katika wakati huu mgumu!
 
R.I.P shabiki wa mnyama na mashetani wekundu
ila simba kwanini wasingetafuta hata digi digi kwa kazi
hiyo kuliko.....
 
Back
Top Bottom