Huyu hapa mzee kamanda aliejitolewa kuipa chadema kiwanja chake bure (picha)

oneblood

JF-Expert Member
Dec 27, 2011
244
51
Wakuu sikuzote huwa nadondosha vitu vyenye ushahidi wa nguvu humu JF,nimeona uzihumu JF unaohusiana na mzee mmoja aliekabidhi kiwanja chake chenye ukubwa wa zaidi ya hekali moja ,ambacho kipo maeneo ya Mkuyuni njia panda ya kwenda chuo cha ualimu (Butimba TTC)kilomita kadhaa kutokea katikati ya mji wa Mwanza,uzi ule wakamanda ulikosa picha sasa me nilifanikiwa kumulika live mzee huyo pindi anaongea na mwenyekiti akiomba atangaze hadharani,na mala baada ya kutangaza kwamba atagawa uwanja wake huo ndipo alijitokeza kijana mmoja na kuongea na yule mzee then mzee akaanza kupiga kelele kwamba jamaa amemtishia kumwuandipo Redbliged wakamshusha chini huyo kijana aliekuwa amevaa tshet nyeupe ya M4C,habari zaidi zilidai jamaa huyo amekuwa akimfata kwa mda mrefu mzee huyo akibembeleza auziwe kiwanja hicho bt mzee amekuwa akimgomea,na mwishoni mwa mkutano kijana huyo aliedaiwa kumtishia maisha mzee huyo alichangia tawi la CDM SAUT kiasi cha sh 100000 taslimu huku akitamba kwamba yeye ni CDM damu kamwe hawezi kuwa gamba.
DSCN0946.JPG DSCN0947.JPG

  • :biggrin1:
 
niko nyumbani kwa mrs mwangosi, unaweza ukaja?

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha afadhali umesema hivyo, huenda Chris lukosi akarudisha zile pesa za rambi rambi za mwangosi alizoiba hahaha
 
Wameshapewa vingapi na wameendeleza vingapi?? Ukiangalia asset register ya CDM hamna building yoyote wala land. Siyo agenda ya CDM kufanya long term investment yoyoye cuz wanajifahamu kuwa wao ni wapitaji tu na wanajichumia matumbo yao.Mzee Sabodo alijitahid kuwapa na eneo but mpaka leo hamna kilichofanyika. Huyo mzee bora angetoa sadaka msikini au kanisani.
 
“A fool can easily be identified by what proceeds from his/her mouth.” (Adedayo kingjerry)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom