Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

Status
Not open for further replies.

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
image.jpg

Wadau amani iwe kwenu.

Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananchi wamwamini na kumpa kura. Miongoni mwa mambo aliyotumia kuombea kura ni kutomiliki Magari na Nyumba za Kifahari na badala yake atatumia fedha atakazopata kuwahudumia wananchi hasa kwenye huduma za Afya na Elimu. Moja ya ahadi kuu ya Mr Sugu ni hii hapa na nanukuu;

========="Nikichaguliwa kuwa Mbunge, sioni faida ya kutembelea magari ya kifahari na kulala kwenye jumba la kifahari wakati wananchi wangu wanateseka kwa kukosa huduma bora hospitalini na watoto wanakosa vitabu, vyumba vya madarasa na madawati. Nitauza mpaka gari la Mkuu wa Mkoa ili kuhudumia Jamii========= Mwisho wa Kunukuu.

Sasa linganisha kauli hiyo na haya maisha anayoishi Mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Sugu. Je kwa tafsiri yako msomaji, nini maana ya Magari ya Kifahari na Nyumba ya kifahari? Hivi anavyomiliki Sugu si vitu vya kifahari?

=====================

Ufafanuzi:

Hizi picha zimepigwa wakati wa kutengeneza Video ya wimbo wake mpya uitwao Freedom.
 
Wabongo kubebea bango story ambazo hazina hata ukweli wala utafiti!! Kwa taarifa yako...hiyo ni video yake kweny nyimbo yake mpya freedom! Maisha ya ubunge uyasikie tu! Pia Sugu anaishi maisha ya kawaida sana! Na hawezi kupata mali zote hizo kwa miaka 5! Labda auze ngada! Magari ya show room hayo na nyumba ya wenyewe ana fanya shooting tu hapo! Acheni majungu bila utafiti!
 
wadanganye wana mbeya, tulashasema hawa jamaa waongo sana
 
Pesa za walipa kodi wananchi maskini wa Mbeya mjini.

Anajenga pia hotel ya nyota tatu.

Alafu kesho anawaambia raia waandamane ili wapate maisha mazuri anawageuza mtaji wake wa kupata posho.

Life!
 
View attachment 336532
Wadau amani iwe kwenu.

Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananchi wamwamini na kumpa kura. Miongoni mwa mambo aliyotumia kuombea kura ni kutomiliki Magari na Nyumba za Kifahari na badala yake atatumia fedha atakazopata kuwahudumia wananchi hasa kwenye huduma za Afya na Elimu. Moja ya ahadi kuu ya Mr Sugu ni hii hapa na nanukuu;

========="Nikichaguliwa kuwa Mbunge, sioni faida ya kutembelea magari ya kifahari na kulala kwenye jumba la kifahari wakati wananchi wangu wanateseka kwa kukosa huduma bora hospitalini na watoto wanakosa vitabu, vyumba vya madarasa na madawati. Nitauza mpaka gari la Mkuu wa Mkoa ili kuhudumia Jamii========= Mwisho wa Kunukuu.

Sasa linganisha kauli hiyo na haya maisha anayoishi Mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Sugu. Je kwa tafsiri yako msomaji, nini maana ya Magari ya Kifahari na Nyumba ya kifahari? Hivi anavyomiliki Sugu si vitu vya kifahari?
ungeweka ile mbunge wa pale nanii yule mtoto wa nanii misha yake ningekuamin sio kutoa vipande vya video za nyimbo za watu kuleta hapa
 
Wabongo kubebea bango story ambazo hazina hata ukweli wala utafiti!! Kwa taarifa yako...hiyo ni video yake kweny nyimbo yake mpya freedom! Maisha ya ubunge uyasikie tu! Pia Sugu anaishi maisha ya kawaida sana! Na hawezi kupata mali zote hizo kwa miaka 5! Labda auze ngada! Magari ya show room hayo na nyumba ya wenyewe ana fanya shooting tu hapo! Acheni majungu bila utafiti!
Kwa maelezo haya,Mada imefungwa!!.
 
View attachment 336532
Wadau amani iwe kwenu.

Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananchi wamwamini na kumpa kura. Miongoni mwa mambo aliyotumia kuombea kura ni kutomiliki Magari na Nyumba za Kifahari na badala yake atatumia fedha atakazopata kuwahudumia wananchi hasa kwenye huduma za Afya na Elimu. Moja ya ahadi kuu ya Mr Sugu ni hii hapa na nanukuu;

========="Nikichaguliwa kuwa Mbunge, sioni faida ya kutembelea magari ya kifahari na kulala kwenye jumba la kifahari wakati wananchi wangu wanateseka kwa kukosa huduma bora hospitalini na watoto wanakosa vitabu, vyumba vya madarasa na madawati. Nitauza mpaka gari la Mkuu wa Mkoa ili kuhudumia Jamii========= Mwisho wa Kunukuu.

Sasa linganisha kauli hiyo na haya maisha anayoishi Mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Sugu. Je kwa tafsiri yako msomaji, nini maana ya Magari ya Kifahari na Nyumba ya kifahari? Hivi anavyomiliki Sugu si vitu vya kifahari?
hii nayo ni aina ya majungu, hukai mbeya waachie wa mbeya
 
Mw

Jamaa anatafuta maisha yake kihalali kabisa, acha mafungu. Huo ni Wimbo wake mpya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom