Huyu hapa King Kiba akiimba kwetu ya Vanny Boy & Chibu

Acha undezi wewe,una ushahidi gani kama anaishi kwa mama yake?
Mkishaona watu wanasema huku kwenye mitandao au vijiweni mnayabeba hivyohivyo.

Mtume dada yako kwa Kiba atakuletea majibu kama anaishi kwake au kwa mama yake.
Duu huko kwenu mmezoea kutukana?king anaishi kwao and he is proud of it ,tukana tena
 
Acha undezi wewe,una ushahidi gani kama anaishi kwa mama yake?
Mkishaona watu wanasema huku kwenye mitandao au vijiweni mnayabeba hivyohivyo.

Mtume dada yako kwa Kiba atakuletea majibu kama anaishi kwake au kwa mama yake.

Umeguswa wapi mbona umeshtuka hivyoo.
 
Hamna nililala kwa dada yako
Ukiandika kitu humu kuwa na fact, maana unaonesha kama vile unajua vitu kumbe hujui, ndo maana nikakuuliza ulilala kwake? Hayo maneno ya kwenye mitandao usiyachukulie kwa uzito sana mengine ni kuchafuana tu. Namfahamu huyu dogo na familia yake kitambo sana
 
Kwahiyo me simjui?Ali unajua kwanini aliacha kuimba?
 
Back
Top Bottom