likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,072
AMEPENDESA THANA.
kwa utawala huu huyu dem sidhani kama ana Bf labda kama asitumie ID yake og au huyo bf awe na roho ya paka
Hakuna m2 ninayemwogopa kama mswahili chini ya jua,akipata habar zako lazma akuweke sawa!ni uzee tu umeniwahi ingekuwa ndiyo miaka ile ya 1980 ndiyo nimechanua sasa haki ya mama ningetia timu pale magogoni na Landrover119 ya babu kumposa huyu mtoto isitoshe kisukuma nakijua nje ndani lazima tu ningebeba mtoto ningekuwa na mama mkwe mpole ila baba mkwe hajaribiwi sijui ni nani alimwambia atamjaribu
Ram.....Hahaha jf ni nomaa..