Ana mimba ?Yupo maternity leave jamani....hahaha amenona
baba alisemaje vileee??aise watu mnatisha mmefukunyua hadi mwisho.atajutia kauli ya babake
kivipiAisee......yuko okay....teh teh teh
2016-2017 second year, 2017-2018 third year... Kwa mahesabu yako sahiv atakuwa mwaka wa tatu!....mbona ipo sawa tu!Mkuu kanaliza 2011. Ila matokeo yalitoka 2012, piga hesabu 2012 2013 certificate, 2013, 2014, dploma one 2014 2015, kamaliza dploma 2015, 2016 frist year....sasa yeye yupo second year. Jiulize kafikaje
chuo gani kingempokea huko nje kwa kufeli kwake
Sasa hivi yuko Masters mwaka wa kwanza2016-2017 second year, 2017-2018 third year... Kwa mahesabu yako sahiv atakuwa mwaka wa tatu!....mbona ipo sawa tu!
Ulifanikiwa kupata namba mkuu?Naomba namba yake ya simu
Naomba kuuliza,mtoa mada mpk leo bado anapatikana humu jf au mitaani??
Bonge LA demu
ni uzee tu umeniwahi ingekuwa ndiyo miaka ile ya 1980 ndiyo nimechanua sasa haki ya mama ningetia timu pale magogoni na Landrover119 ya babu kumposa huyu mtoto isitoshe kisukuma nakijua nje ndani lazima tu ningebeba mtoto ningekuwa na mama mkwe mpole ila baba mkwe hajaribiwi sijui ni nani alimwambia atamjaribuBonge LA demu
Anapatikana collage gani hapo udom?Sasa hivi yuko Masters mwaka wa kwanza
Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tenaAnapatikana collage gani hapo udom?