Huyu hapa Jesca John Magufuli

Inabidi Mkuu awe anatembea naye jukwaani kama anavyofanyaga Obama na akina Sasha na Melia ,...hahahha
 
Mkuu kanaliza 2011. Ila matokeo yalitoka 2012, piga hesabu 2012 2013 certificate, 2013, 2014, dploma one 2014 2015, kamaliza dploma 2015, 2016 frist year....sasa yeye yupo second year. Jiulize kafikaje
2016-2017 second year, 2017-2018 third year... Kwa mahesabu yako sahiv atakuwa mwaka wa tatu!....mbona ipo sawa tu!
 
Huyu ajaomba nafasi UVCCM au anafuata nyayo za watoto wa Mwalimu Nyerere.
 
Bonge LA demu
Bonge LA demu
ni uzee tu umeniwahi ingekuwa ndiyo miaka ile ya 1980 ndiyo nimechanua sasa haki ya mama ningetia timu pale magogoni na Landrover119 ya babu kumposa huyu mtoto isitoshe kisukuma nakijua nje ndani lazima tu ningebeba mtoto ningekuwa na mama mkwe mpole ila baba mkwe hajaribiwi sijui ni nani alimwambia atamjaribu
 
63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom