Huyu hapa Jesca John Magufuli

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,457
e7bf4cf215914f5b21730822b86cd76a.jpg
 
Hauna ya pozi jingine mkuu!?
Sina uhakika sana na mboni ya macho yangu japo nimepepesa vya kutosha!!
Tafadhari usimpandishe kwenye ule uzi wa awali utakuwa hujamtendea haki...(japo yawezekana wao ndo wakawa vilaza zaidi yake...)
Sijui ila aweza kuwa amepitwa kwa yote mkuu
DDDD si mchezo
Ni kama kiongozi alivyosema Jana tu kwamba ni kilaza
 
Ridhwani Kikwete baada ya Babake kuwa Rais alikutana na Abbas Mwinyi na Makongoro wakamueleza Changamoto za kuwa Mtoto wa Rais na changamoto zake kwny media.
Ridhwan Kikwete nae ni wajibu wake kukutana na huyu binti kumuandaa kisaikolojia.
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom