Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Inaonekana huyu aliewahi kuwa miss Tanzania bado anautesa ule upande aliotoka baada ya kumchafua kwenye ngada..... Tz ya matukio wacha tuchange hela ya bundle maana ndio faraja pekee iliyobaki kuzugia ugumu WA maisha.
 
Yaani siwezi na sitaki hata kusikiliza huo upuuzi....watu wote wangekuwa na akili chafu kama yangu tungekuwa tunarusha setelite ya sita angani kuliko kukaana kupumbwazwa na wanasiasa
 


Hiyo Spiral of Silence Theory ni nzuri sana hasa ukijua jinsi ya kuitumia na wakati gani otherwise na Wewe ukiwa ni Mwepesi wa Kuhamaki na kutaka kukimbia katika Media kujibu nawe pia utaonekana ni mmoja wa wale wale Wapumbavu / wa hovyo hovyo kama wale waliokukosea / kukuzushia.

.

Yaan umemaliza kila kitu Mkuu
 
Wema amekanusha wapi?
Tutaaminije wema ndio aliyekanusha na sio huyo aliemuiga sauti
Ingekua video hapo sawa
 
Muda mwingine muwe mna apply hii theory ya Spiral of Silence kwani mtaepuka na mengi na mtakuwa safe sana tu. Kwa Mtu aliye na akili timamu kabisa kama kaisikiliza hiyo Voice Note hatochelewa kugundua kuwa hizo Sauti zote mbili siyo za Wema Sepetu wala Freeman Mbowe.

Muigizaji alichopatia tu ni katika kuigiza Sauti ya Wema Sepetu ila kwa sauti ya Freeman Mbowe ameikosea tena vibaya mno kwani Voice Code ya Freeman Mbowe ni ya Kipekee sana na ukiisikiliza vizuri sana utasikia jinsi huyo Popoma muigizaji anavyohangaika kuiiga.

Na sehemu ambayo imemuumbua vilivyo Muigizaji Popoma wa sauti ya Freeman Mbowe ni pale alipokuwa akihangaika na Kiingereza chake cha Ras Simba cha kubabaika na kuchapia wakati hakuna asiyejua kuwa Freeman Mbowe naturally ni Wordsmith ( ametukuka kwa kukijua vizuri sana Kiingereza )

Personally sijaona haja ya Wema Sepetu kuhangaika kufanya counter kwa kujibu huu Upupu / Upuuzi na hapa ndipo unaonekana sasa kwa Watanzania ifike muda sasa kama unajua Wewe ni Public Figure au Celeb basi uhakikishe unakuwa na Communication Expert wako / Spokesperson wako ambaye atakuwa anakusaidia katika kukabili majaribu ya Kimawasiliano kama haya.

Hiyo Spiral of Silence Theory ni nzuri sana hasa ukijua jinsi ya kuitumia na wakati gani otherwise na Wewe ukiwa ni Mwepesi wa Kuhamaki na kutaka kukimbia katika Media kujibu nawe pia utaonekana ni mmoja wa wale wale Wapumbavu / wa hovyo hovyo kama wale waliokukosea / kukuzushia.

Mwisho nimshauri tu Freeman Mbowe kuwa asipoteze muda kuliongelea au kulijibia hili na badala yake aendelee zake tu kuchapa Kazi na kuhakikisha Maziko ya Mzee wao wa CHADEMA Philemon Ndesamburo Kesho anapumzishwa vizuri katika nyumba yake ya milele. Mbowe na Yeye akilijibu au hata kuligusia hili nitaanza Kumdharau na kumuondoa kabisa katika list yangu ya Wanasiasa ninaowaheshimu kabisa hapa nchini Tanzania.

Yangu ni hayo tu.
Ile ya mbunge wa viti maalum aliempa mimba vip? Nayo imeigizwa?!
ile safari ya Dubai kwa yule mbunge je nayo iliigizwa..
muwe mnaona hata aibu sometym.
 
Tatizo mnatumia nguvu kubwa sana kukanusha wakati kati yao wawili hakuna aliekanusha, kwani mwenyekiti si mwanaume? ? Siku zote anapopiga mzigo mnakuwepo? Achane mwenyekiti ajipigie mzigo maisha menyewe mfupi haya.
Halafu mambo ya kujifungia si busara kupiga mdomo barabarani
 
Akizuliwa mtu wa ccm akanushe mwenyewe ila akizuliwa wa chama pendwa wapambe ruksa kumkanushia.......yelewiiiiiiii
 
2220d3c85db310c486fcc652290f1bf2.jpg

Lumumba tafuten Lingineeee.... Toka lin simu ikaanza kurekodi kabla hata ya kupokelewa?!
 
Inaonekana huyu aliewahi kuwa miss Tanzania bado anautesa ule upande aliotoka baada ya kumchafua kwenye ngada..... Tz ya matukio wacha tuchange hela ya bundle maana ndio faraja pekee iliyobaki kuzugia ugumu WA maisha.
Wanachochanganyikiwa ni kwamba Wema ana Fan Base kubwa sanaaaa kupita msaniii yyte wa kike Tz.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaa

Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri.

Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.

Mange kawaambieni team Lumumba hiyo voice notemkapigie puli ,sisi tumeipuuza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom