natamani angekuepo tz isingekua hapa.
Ukimaanisha tungekuwa bado tunakula lile dona la farasi?
Lakini na Tanzanite yetu isingekuwa imeibwa yote
Mbona yeye alipakimbilia? Au yeye alikuwa amekaa nyumbani kwake Magomeni watu wakaja kumwomba kumtawaza kuwa Rais?Anasema ikulu ni mahali patakatifu na anayekimbilia Ikulu kwa rushwa aogopwe kama ukoma
Unajua ukilitaja hilo jina uje unamkumbushia mama Mwanaasha machungu ya mwanae kufeli peke yake shule nzima. Halafu huyo ndiyemtoto pekee wa huyo mama kufeli wakati watoto wa wake wenza Rizi moko walipeta school.Angekuwa baba mwanaasha hapo lazima wangetandika zuria la dhahabu
Mbona yeye alipakimbilia? Au yeye alikuwa amekaa nyumbani kwake Magomeni watu wakaja kumwomba kumtawaza kuwa Rais?
Na hata tukisema yeye hakupenda kukimbilia Ikulu, ilikuaje kuaje ang'ang'anie Ikulu miaka 24, alikuwa kila baada ya miaka mitano "anaombwa na wazee"?