Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Dah mie namfagilia kinoma, nakumbuka enzi za BEN KIKO wa RTD
Duh...inawezekana huwa simfuatilizii vizuri labda! Au pengine ni tofauti yetu ya 'taste' tu! Maana hata nikisema nimlinganishe na maripota wengine bado 'sioni' ubaya wake!(frankly, hanikeri!)Si mwisho tu, ni kila anapomalizia sentensi anakuwa kama "gramophone" linalotaka kuwa "rewound" na kubadilishwa sindano. Ukiyajuwa haya utajuwa nasema nini.
[h=3]George Marato wa ITV[/h]
George Marato ni mwandishi mashuhuri wa kituo cha televisheni cha ITV ambaye hurusha habari kutoka mkoa wa Mara.
Kwa muda niliyomfahamu ni mtu ambaye ni mtafutaji mzuri wa habari. Iwapo habari haijamfikia Marato, hiyo siyo habari. Itakuwa ni uzushi. Pamoja na kazi anayofanya ITV huwa anaandika makala kwa magazeti mbalimbali ya hapa nchini.
Kwenye picha anaonekana akiandaa habari kwa ajili ya kurusha hewani.
Ungemalizia, WA-KAAA-JI-NYOOO-NGEEEEEE.
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Namna ya utangazaji wako kwenye luninga unakera sana , hivi ni kwanini lazima uvute hayo maneno unapomalizia sentensi? ni mbwembwe au nini? hivi hujuwi kuwa Kiswahili kikiongewa au kutumika kutangaza kama kilivyo kina ladha yake zaidi yakukigeuza na kuvuta maneno bila sababu yoyote?
Awali nilikuwa nikifikiri labda una lafdhi (accent) ya lugha fulani ya Tanzania na huna budi na kila unapoendelea kutangaza kwa Kiswahili utabadilika kwa ku "improve" lakini baada ya kukusikiliza kwa muda mrefu sasa, naona unazidi. Sijui ni nani alikusifia kuwa kwa kuongezea kuvuta sauti ya matamshi ya kila neno la mwisho la sentensi ni utangazaji mzuri? aliyekusifia anakudanganya, tangaza kwa kutamka maneno kiufasaha na kama kawaida ya Kiswahili utafanya vizuri zaidi. Tafadhali badilika.
Namna ya utangazaji wako kwenye luninga unakera sana , hivi ni kwanini lazima uvute hayo maneno unapomalizia sentensi? ni mbwembwe au nini? hivi hujuwi kuwa Kiswahili kikiongewa au kutumika kutangaza kama kilivyo kina ladha yake zaidi yakukigeuza na kuvuta maneno bila sababu yoyote?
Awali nilikuwa nikifikiri labda una lafdhi (accent) ya lugha fulani ya Tanzania na huna budi na kila unapoendelea kutangaza kwa Kiswahili utabadilika kwa ku "improve" lakini baada ya kukusikiliza kwa muda mrefu sasa, naona unazidi. Sijui ni nani alikusifia kuwa kwa kuongezea kuvuta sauti ya matamshi ya kila neno la mwisho la sentensi ni utangazaji mzuri? aliyekusifia anakudanganya, tangaza kwa kutamka maneno kiufasaha na kama kawaida ya Kiswahili utafanya vizuri zaidi. Tafadhali badilika.
umewahiwa kumsikia Ummul Kheri wa Dutch Welle au Jocob Tesha wa Rtd(Tbc)? au Ngayona nkondola wa Radio Free ! Hiyo ID yake hivyo acha nongwa !Namna ya utangazaji wako kwenye luninga unakera sana , hivi ni kwanini lazima uvute hayo maneno unapomalizia sentensi? ni mbwembwe au nini? hivi hujuwi kuwa Kiswahili kikiongewa au kutumika kutangaza kama kilivyo kina ladha yake zaidi yakukigeuza na kuvuta maneno bila sababu yoyote?
Awali nilikuwa nikifikiri labda una lafdhi (accent) ya lugha fulani ya Tanzania na huna budi na kila unapoendelea kutangaza kwa Kiswahili utabadilika kwa ku "improve" lakini baada ya kukusikiliza kwa muda mrefu sasa, naona unazidi. Sijui ni nani alikusifia kuwa kwa kuongezea kuvuta sauti ya matamshi ya kila neno la mwisho la sentensi ni utangazaji mzuri? aliyekusifia anakudanganya, tangaza kwa kutamka maneno kiufasaha na kama kawaida ya Kiswahili utafanya vizuri zaidi. Tafadhali badilika.
nipo kwenye serengeti za bardiiii.
Jamani acheni unafiki Huyu jAmaa anatia kinyaa hakuna MTu serious anaweza kusikiliZa upupu wake watu wa mara wameliwa huweZi huweZi sema ni creativity ni ushamba uliochanganyika na shule nd ogo take na mabosi wake ni kweli huweZi kuwakuta wasomi kermis best practice za serious media wakiruhusu hip ushuzi media zetu haZiko serious
Mshindwe na mlegee kawaboa nini mtoto wa watu? Hiyo ndo ishara yake ni sawasawa kabisa na masako nawapenda mno kwa style zao acheni chuki binafsi bana kha?!