Huyu George Maratu wa ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu George Maratu wa ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr. Bigman, May 7, 2011.

 1. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,853
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huyu ripota wa ITV anayeripoti kutokea Mkoani Mara, hii style yake na intonation yake, wakuu mnaionaje?

  Is he singing or is he weeping? Mimi sijaisikia anywhere else, not in BBC or CNN or Aljazeera
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani mpaka usikie sauti kama yake huko cnn ndo ukubali anavyotangaza?
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's his voice creativity.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  fikira mgando... mpaka uisikie BBC,CCN na Aljazeera ndio uipende??????????? a you a great thinker!?
  Join Date : 7th May 2011
  Posts : 2
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
  crap!
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yan kama uko kwenye mawazo yangu vile, jamaa anaboa.
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  yan jamaa ni bonge la mtangazaj yan yeye ni waukwel kama alivyo fred masako yan hawa ni macreative wa pekee ukimchukuwa maratu ukampa asome barua ya msiba au vifo ninafikiri kila atakae sikia anaweza au atalia ya ni anasaut ya pekee na ukimchukuwa masako ukampa atangaze habar ya mshangao lazima utashtuka au utashangaa hawa wa2 kwel wanaCREATION YA PEKEE co lazima wote wawewanatangaza kama WATANGAZAJ WA HALI YA HEWA utazan ni mtu yule yule kila cku
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nikiripoti toka kyabakari mkoani Mara ni mimi joji maratu, aai tii viiiiim
   
 8. n

  nndondo JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Jamani acheni unafiki Huyu jAmaa anatia kinyaa hakuna MTu serious anaweza kusikiliZa upupu wake watu wa mara wameliwa huweZi huweZi sema ni creativity ni ushamba uliochanganyika na shule nd ogo take na mabosi wake ni kweli huweZi kuwakuta wasomi kermis best practice za serious media wakiruhusu hip ushuzi media zetu haZiko serious
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Acheni uchuro inaonekana mnazisujudu sana media za wenzetu sana wafanye kitu ndo Tanzania tuige?.Je kuna aliyewahi kumsikia mtangazaji wa K24 ya Kenya Jeif Koinage anavyotangaza? Kama bado fuatilia
   
 10. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  The guy is good, I can compare him with Richard Quest of CNN. Wanatofautiana style tu. Take 5 Marato
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye ze komedi hujaisikia? Basi mwenzangu masikio yako yapo kiunoni
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mnamkumbuka ben kiko wa radio tanzania enzi hizo? marato yupo uniq so mnataka abane pua km watangazaji wa radio zetu hizi za dotcom? kila mtu ana lafudhi yake tokana na kabila au mahali alipokulia sasa ukiniambia eti hupendi lafudhi yake ni mwendelezo wa MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO.
   
 13. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  binadam ana energy inayompa uwezo wakufanya jambo lolote, hata wewe mwenye thread, usifanyekitu kuwafurahisha watu, fanya kitu kitakacho kufurahisha kwanza wewe binafsi then wengine. . .fanya kile kitu unachojiskia kufanya na sio maneno ya watu wewe umeumbwa kwa ajiri yako hvy ji pe raha, furaha kwanza wewe tena ukitangaza vile unavyopenda wewe mwenye na wa2 watapenda.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Huyu George Maratu ni aibu tupu. Mwanaume gani anaongea kwa kuvuta maneno?! huwa na-switch channel kila nikisia sauti yake maana naona anadhalilisha wanaumea. Kama kuna mtu wake wa karibu humu jamvini amwambie kuwa kuongea kwa kuvuta si hulka ya wanaume wa Tanzania. mwishoni ataanza kurembua macho!
   
 15. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mi hata sijaelewa chanzo cha kumkandia Marato. Mbona hamsemi kuhusu watangazaji wengine wa hovyo wanaogeza lahaja na lafudhi za kimarekani mpaka inakuwa ngumu kuwaelewa kama ni wahamiaji hapa Tz ama la. Semeni kuhusu mtangazaji wa Clouds kipindi cha jahazi (sikumbuki jinale) au Dulla wa EaTV hawa na watangazaji wengi hasa wa bongo fleva ni wachafuzi wa lugha kuliko Marato. Marato kwangu mi angekuwa na kasoro kama angekuwa anachanganya lugha bila sababu kama hao niliowabainisha hapo. Mwisho napenda kuwaasa waTZ kuacha kufumbia tatizo na kukotolea macho mambo ambayo hayana hata dalili za tatizo. Tupeleke lawama zetu kwa watangazaji wanaoharibu lugha yetu na kama hao si tatizo kwa uharibifu wao vivyohivyo Marato hawezi kuwa tatizo zaidi ya tatizo lenyewe. Walikuwepo na bado wapo watangazaji wa aina kama ya Marato, mfano Masako, Masoud Masoud. Enzi hizo walikuwako wengi kama Tumbo Risasi, Hendrick Libuda, Abdul Ngarawa nk. Hawa wote walijulikana kwa sauti au mtindo wao wa namna ya kuripoti. Marato si wa kwanza tukemee wanaoharibu kiswahili na sio wanaoripoti kwa majaaliwa yao ya sauti na uongeaji wao. Nawasilisha Wakuu!
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mshindwe na mlegee kawaboa nini mtoto wa watu? Hiyo ndo ishara yake ni sawasawa kabisa na masako nawapenda mno kwa style zao acheni chuki binafsi bana kha?!
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Jirekod ww utuwekee tukusikie kama huna sauti mbaya kama chura dume.
  mwanume mmbea kama mswahili wa kijiweni kutwa kucha kushinda hawafanyi kazi.
  waza la maendeleo sio upupu kama huu wa mada yako.
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mpashe apashike huyo
   
 19. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mkuu nimekubali hao watu hata mi huwa nawaaminia sana tu.
   
 20. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Nyie ndo masharobaro nini? Mnataka kusikia sauti za kina Mchomvu, Dulla, B12 (Unaongea huku umebana pua).
   
Loading...