Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?
Tumelisema sana hili hapa..... Ni dhahiri shahiri... Kuna dharau ya wazi kabisa...

Wacha tuendelee subiri.
 
Gwaji part 3
JamiiForums-748091098.jpg
 
Hivi maidhui ya mwandishi ni hicho ulichokieleza wewe kweli?

Ni mara ngapi 'system' imelalamikiwa kubambikia watu kesi?

Je wabambikiwa makosa huwaga kuna ushahidi dhahiri wa kiuchunguzi wa kuwaswendema ndani?

Hili neno kubambikia lina tafsiri gani?

Mi namuunga mkono Mshana na wala asijishughulishe na kufuta futa uzi hapa.

Siro hakutakiwa kujadili ama kutoa maoni aliyoyatoa kwenye interview hiyo kwa sababu huko nyuma( awamu ya5)hakujadili hata dakika moja kuchukua hatua kwa yeyote popote na bila maelezo ya uchunguzi wa jinai kufanyika kwanza, uchunguzi ulifanyika watu wakiwa ndani.

Yaani kumekuwa na Siro wawili kwenye wadhifa mmoja katika serikali za awamu mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, Dorothy Gwajima nao wamekuwa wangapi.
Una kumbukumbubu yoyote ya IGP Siro kuagizwa na waziri katika awamu iliyopita?
Na Kama ipo huenda ikawa Ni coincidence tu, yaani kana kwamba unamwagiza mwalimu kufundisha..
 
Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha.

Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile.

Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi.

Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU.

Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake.

Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka.

Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa.

Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali

Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo.

Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!

Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali.

Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?

Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!

Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?

Chain of Command kwa sasa ni kama haipo kabisa.

Haya yote ni matokeo ya failure ya awamu ya nne. Uongozi wenye nidhamu ukiishia ishia kwake. Wale wote waliokuwa au kukuzwa na mwalimu walifaulu kisiasa na ki protocols: na walielewa vyema the Theory of Chain of Command kwenye System ya Governance ( Governance Structure).

Who reports to who..
Je, Msemaji Wizara ya Afya MOHCDGEC ni nani ? Je Dorothy aliwasiliana na technical team yake na kupata miongozo na itifaki kabla ya kuja kwa Public? Je Sirro hakujua namna ya kujibu maagizo ya serikali hata kama itifaki haikuzingatiwa.

Something is wrong, really kuanzia utawala wa nne. That is black and white.

Kuhusu kuongozwa na mwanamke, napenda kuwa muwazi katika hili ; I respect women very much , however linapokuja suala la uongozi na mamlaka ya juu kama nchi, especially wanawake wa Africa ambao hawajakuzwa kwenye CONFIDENCE na MATURITY ya SELF REALIZATION, I prefer wabaki kuwa WATENDAJI yaani level za PM, VP etc etc. Kwa wanawake wa nje it is okay kwa sababu wenzetu mifumo ya nchi inajiendesha na nchi inaweza kwenda bila hata Rais.

Kuna hii portion ya GENDER, we can’t deny the truth, Mama is not making it at all, and she is losing control out of control. She lives in a fantasy of being a president out of not knowing what else to do. It is very sad realizing that Tanzania has never been lucky .

Kama Watanzania tukifanikiwa kukitoa CCM, huenda tukaanza kuona NURU katika Tanzania. CCM has proven failure over and over again, Na hawana maajabu tena zaidi ya UPUMBAVU, they are all caints, As*hole.

CCM will never be the solution for the country. Ili ku solve shida za TZ, ni lazima creator wa hizo shida akae pembeni.

All in all I wish her the best ......I cherish for her, as a son.
 
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya serikali ya JPM na JK na SSH ila kuna tofauti ndogo sana kati ya serikali ya SSH na JK.
Serikali ya JK kulikuwa hakuna nidhamu kwa watumishi wa Serikali nakumbuka mawaziri walikua wakijibizana wenyewe kwa wenyewe huyu Nabomoa huyu Usibomoe na mambo mengine mengi JPM aliliona hili akalirekebisha kwa nguvu nyingi sana kwa mfumo wa kutumbua.
Baada ya mama kupokea kijiti cha JPM maisha yamerudi miaka 7 nyuma.

HII NCHI NGUMUUU 😭😭😭😭😭
 
Ni kweli kabisa na bado nina msimamo uleule na wala si kuwa zilinipotea na sasa zimerudi...
Iko hivi kimsingi na kiuhalisia Mamaa yuko njema sana na nia yake ni thabiti sana lakini kazungukwa na nje nzige na tandu... Kwa wote mnaoona kabadilika kuna mengi nyuma ya pazia hamyajui ila muda utasema
Hao wanaomzunguka mnawaonea sana, kipindi cha late Magufuri hamkusema wanaomzunguka how bimkubwa?.
 
Back
Top Bottom