Huyu fisadi hastahili kuhudhuria mazishi haya

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,029
Mkapa to attend burial of Nyerere kin

By Beldina Nyakeke, Musoma
THE CITIZEN

Former President Benjamin Mkapa will today join Chief Burito's family at the burial of Mwalimu Julius Nyerere's younger brother, Kiboko Nyerere, in Butiama Village.

Mara Regional Commissioner Issa Machibya told The Citizen that the burial would to take place from 11am, and would also be attended by Mwalimu Nyerere's widow, Mama Maria Nyerere, among others.

However, Mr Machibya could not immediately give more details on the event, including who would represent the Government at the event, on the grounds that he was yet to be informed.

A son of the late Kiboko, Vicent Nyerere, said his father died last Sunday at Butiama Health Centre, where he was undergoing treatment.

He said Kiboko, who was born in 1938, was suffering from complications associated with old age, adding that ill health had dogged his father since 2005.

Kiboko was the last born among eight children of Mwalimu Nyerere's mother, the late Christina Mgaya. He leaves behind two widows, 21 children and 16 grandchildren.
 
yani speed ya watoto 21 imezidi hata ya wajukuu 16 anyways Poleni kwa msiba
 
Nenda na bunduki ukamuue huko butiama maana tumechoka kukusikia na mahasira yako dhidi ya Mkapa !!! Why??????!!!!!

Afanye nini ili wewe uridhike zaidi ya umauti? Maana ghadhabu hizo za kwako ni kama mmegombania demu!!

The family of Nyerere poleni sana kwa matatizo,mungu awape subira.

Mkapa ni sahihi kuwepo mazikoni maana ni age mate wa Kiboko
 
Eti unajifanya kushangaa kama vile huyajui au hujawahi kuyasikia madhambi aliyoyafanya Mkapa alipokuwa Rais! :confused:
Utashangaa sana mwaka huu na miaka inayofuata pia.

Mihimili yote aliyounda Nyerere kuhusiana na Maadili ya uongozi ambayo ilikuwa inaungwa mkono na Watanzania walio wengi aliivunja au kuikiuka wakati wa uongozi wake. Halafu leo anajifanya yuko karibu sana na ukoo wa Nyerere. Kama tungekuwa tunaua kila mtu mwenye maovu basi huyu Nyerere hangeona vibaya kumuua kwa maovu yake lakini tuna uhuru wa kusema kuhusiana na maovu yoyote ndani ya Tanzania. Na katika uongozi wa Tanzania wa sasa na uliopita huyu ni fisadi namba 1, na Watanzania wana haki ya kuongea lolote wanalotaka na kamwe hawawezi kuunyamazia ufisadi. Undumila kuwili wake tumeushtukia. Hakumuheshimu Mwalimu wala familia yake wakati Mwalimu alipokuwa hai leo ndio ataweza kuonyesha heshima hiyo baada ya kutokea msiba?

Labda na wewe ulifaidika kwa namna moja au nyingine na Wizi alioufanya Mkapa ndio maana hupendi kuona wala kusikia Watanzania wakijadili mabaya aliyoyafanya akiwa Ikulu kama vile kufanya biashara, kuwaleta makaburu walioiacha hoi TANESCO, kuhusika katika ununuzi wa Rada, ndege za jeshi, ndege ya Rais unaonuka rushwa, kujiuzia nyumba za siri kali katika mazingira ya kutatanisha, kujimilikisha Kiwira Coal Mining katika mazingira yasiyoeleweka na kuishinikiza TANESCO kusaini mkataba na 'kampuni yake' wa shilingi bilioni 340.Usituletee longolongo lako la kutaka kutunyamazisha eti kama tuna hasira tukamuue, tutaendelea kusema mpaka kieleweke na hakuna wa kututisha wala kutunyamazisha.
 
Back
Top Bottom