Huyu dogo ni nooma!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606"> HUYU DOGO NI NOOMA!

</td> <td align="right" width="139">Videos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<object height="360" width="580">


<embed src="http://www.youtube.com/v/PScfUrCNfKw&hl=en_US&fs=1&rel=0&color1=0xe1600f&color2=0xfebd01&border=1" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="364" width="445"></object>​

</td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">

</td> <td class="news1" align="right" width="39%">
</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
lol

nimegundua kwanini wabongo wengi wanaingizwa kingi na wachina na bidhaa zao fweki..

hii thread ni mfano mmojawapo.

lakini jipya ni lipi?
 
Bw. Mzizimkavu labda nikuulize swali..Hii thread ilitakiwe iwe kama sarcasm au hali halisi? Nataka kujua kaa tupo ukurasa mmoja.
 
Hakuna kitu hapo...Kwa mtu mwenye idea ya kinanda utaona kwamba amewekwa tu hapo abofyebofye, lakini kiufundi haendani na wimbo unaosikika kabsaaaa!

Mkuu Kaizer, embu weka utaalamu wako hapo utujuze!.
 
Hii thread inawahusu wale wote wasiojua kinanda,na wazembe ambao wamemezeshwa kuwa ngozi nyeupe ndio wanajua kila kitu,kama kinanda kingekuwa kinapigwa hivi,ni bora kusingekuwa na muziki ulimwenguni,sijawahi kuona mziki unaopigwa kwa kutumia key tuu bila chords!!
 
Hakuna kitu hapo...Kwa mtu mwenye idea ya kinanda utaona kwamba amewekwa tu hapo abofyebofye, lakini kiufundi haendani na wimbo unaosikika kabsaaaa!

Mkuu Kaizer, embu weka utaalamu wako hapo utujuze!.
Kweli kabisa hapa wanawaibia wale ambao hawana elimu angalau ndogo ya muziki. Mimi ni mwanamuziki nimesikiliza hiyo You tube.
Kwa mfano sauti ninayoisikia inasikikika do do re mi mi re fa mi do do re mi mi re re do. Lakini huyo mtoto yeye anaganda kwenye key moja labda do do do do wakati sivyo.

Hapa huyo dogo si noma.
 
Uwizi mtupu.....enzi zetu tukiwa st anihii...weee tulikuwa tunazamu ya kumata kinanda church
Sasa huyu anataka kutudanganya hapa.
 
Ninajuwa wote Mnamkandia huyo Mtoto wa Kichina angelikuwa Mtoto wa Kizungu mngemkubali sawa nimekueleweni wote mawazo yenu yanafanana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom