Huoni kwamba sio mwandiko wake ?Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika akija kuwa mtu mzima hamna demu atakayeweza kuchomoa
View attachment 1537458View attachment 1537460View attachment 1537458View attachment 1537458
Mwambie akikua atafute hela tu.Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika akija kuwa mtu mzima hamna demu atakayeweza kuchomoa
View attachment 1537458View attachment 1537460View attachment 1537458View attachment 1537458
🤣🤣🤣🤣🤣Unashangaa nini wakati mama yao analala masaa 4 tu muda wote Instagram
😂😂Nakazia
Sio celebrities wetu wa kibongo kutwa kuchambanaUmri wako tafadhari?
Huyo mama mpaka niliona kapost video karecord" Tictak " Sijui ndo inavyoandikwa ?Maana ni app ambayo hata kuigoogle sijawahi.Huyu mama ana IQ IQ ndogo sana ni mtumwa wa social media. Alidiriki kujioa kisa kufurahisha followers wake.Unashangaa nini wakati mama yao analala masaa 4 tu muda wote Instagram
Hata mimi aiseeAibu nimeona mimiView attachment 1538097
Huyo dogo amejitangaza kuwa ni shoga (gay) insta