Huyu dogo, mtoto wa mwanamama Zari swaga zake ni noma

Unajua maana ya BAE? Au hujawah kuitwa hivyo

Najua sana ila mwanamme utajiitaje BAE?? Hata kama BAE ni boy/girlfriend wa mtu.

Bora wanawake wanavyojiita Rachael wa JOSEPH........Sasa Mwanamme utajiitaje SAMSON WA IRENE ?
 
Mama anaogelea uchi na wanae unategemea nini?!
Mara mama anacheza uchi kwenye mitandao watoto wanaona wewe mzazi unategemea watoto wako wajifunze nini kupitia wewe ?!
 
Mama anaogelea uchi na wanae unategemea nini?!
Mara mama anacheza uchi kwenye mitandao watoto wanaona wewe mzazi unategemea watoto wako wajifunze nini kupitia wewe ?!
Unajua uchi wewe? Au ulitaka aogelee na suti?
 
Back
Top Bottom