Huyu dereva aliyetukanwa na kupigwa vibao na Askari wa barabarani ana uvumilivu wa Hali ya juu Sana.

kitu kizuri ni kumtafuta huyo njagu baada ya kazi na kumuuliza kwa ustaarabu kwanini amekulapua makofi,mda huo mkiwa wawili tu kwenye bar mkipata moja baridi moja moto,
 
Nimeona video inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huko nyumbani Tanzania, ikimuonesha Askari wa barabarani akimtukana matusi makubwa na kumpiga vibao dereva wa Lori la mizigo bila hata dereva kujibu chochote na Askari ana amuru waliokuwemo ndani ya Lori walale chini.

Niseme tu huyu dereva alikuwa ni mstaarabu Kama sio muoga wa kiwango Cha juu kabisa, Seriously Hawa watu mm nawatamani Sana wanifanyie huu ushenzi.

Mara nyingi nikiwaga nyumbani Tanzania ninapotumia usafiri wa barabarani hasa kwa gari private nahakikisha Sana nafuata Sheria na nakuwa mstaarabu pale ninapokamatwa lakini ikitokea nifanyiwe Kama alivyofanyiwa dereva kwenye video inayosambaa kisa jamaa wanataka rushwa aisee siku hiyo kwa Mara yangu ya kwanza mguu wangu wa kuku unaenda na Askari yaani niko radhi iwe mwisho wa maisha yangu kwa siku hiyo ila Askari wote watakaonifanyia upuuzi Kama huo nihakikishe wanaenda mochwari halafu ndo najiua.

Nawatamani Sana, Seriously nawatamani mno wanifanyie ujinga huu Mimi nawapeleka kaburini... Huwezi kumpiga mtu na kumtukana matusi ya mama yake utafikiri Kama kafanya kosa kuubwaa ambalo halielezeki, why Kama ni kosa wasingetumia Sheria kuliko ujinga ule waliofanya.

Mm naamini Hawa jamaa huwa wanaangalia na watu, Mimi dharau za kijinga namna ile siwezi kuzivumilia hata kidogo.., na haitakaa itokee nizivumilie.

Pumbafu zao, mijitu imepewa nafasi baada waitumie vizuri inaanza kunyanyasa raia kisa magwanda yao, wakati ni maform four failure... Mi pumbavu kabisa....

Ole wao waje waniletee mm hizi swaga walai tunaenda wote kaburini siku moja
Kuna mhuni kule mbeya alipiga hawa jamaa makofi.
 
Mm mpaka keshokutwa huwa siwezi kumuamini polisi au mwanajeshi wa Kiafrika. Waonevu sana na wanajiona wao ndiyo kila kitu lakn wakishastaafu wanakuwa choka mbaya.
 
Sasa mbona unapaniki ikiwa wewe huna
Sasa wewe mwenye gari SI uanzishe wako.
Usipoangalia bado unakula ugali wa kuvizia, maana ndo wenye tabia hizi za kutaka kujionesha wako vizuri mitandaoni kumbe ni walalahoi wa kutupwa.

Anyway IQ yako inatosha kuendea chooni tu siwezi kukujibu tena, hii ndo reply yangu ya mwisho kwako
 
Ukweli ni kuwa wengi wao ni vilaza, elimu ya utambuzi ni duni.
 
Matumizi ya nguvu hayajawahi kupooza hasira ya Umma fuatilia utakiona hili kadri unavyotumia nguvu ndivyo unavyoupa uma hamasa na nguvu ingawa unaeza kuamini umeunyamazisha.
Umma haujawahi kufhindwa ila unafanya kuretreat tu.
Nilifuatilia mapinduzi ya Libya nimejifunza jambo kubwa sana kuhusu Umma.
Umma ni hatari sana ukiungana kupinga manyanyaso. Mungu Ibariki Tanzania vipe busara vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama.
 
Kimsingi ana busara na akili kukuzidi,hatujui alifanya nini kabla.

Lakini pia pamoja na hayo hakuona sababu ya kuendelea kununua tatizo lingine kwa kukwidana na traffic,kama ambavyo wewe ungefanya.

Mambo ni mengi muda mchache ndugu.
 
Mzee unaweza kuvumilia kupigwa makofi na mitusi ile
Kimsingi ana busara na akili kukuzidi,hatujui alifanya nini kabla.

Lakini pia pamoja na hayo hakuona sababu ya kuendelea kununua tatizo lingine kwa kukwidana na traffic,kama ambavyo wewe ungefanya.

Mambo ni mengi muda mchache ndugu.
 
Sasa wewe mwenye gari SI uanzishe wako.
Usipoangalia bado unakula ugali wa kuvizia, maana ndo wenye tabia hizi za kutaka kujionesha wako vizuri mitandaoni kumbe ni walalahoi wa kutupwa.

Anyway IQ yako inatosha kuendea chooni tu siwezi kukujibu tena, hii ndo reply yangu ya mwisho kwako

Sasa unapaniki nini ,unachukia kisa mitandao ..ndio IQ kubwa mko ivyo
 
Back
Top Bottom