huyu demu mbona simwelewi!

mr solar

New Member
Sep 4, 2011
3
0
hi! ihv ma girlfrnd na 2na 1yr kwny rltn,bt kila ninapomtambulisha kwa rafiki zangu hw anarespond negatively na hata frnd wakija kunipa hi home huwa hafurahishwi,even nikimwambia 2kawatembelee frndz zangu huwa hapend na cjui y wkt 4me ido care 4her frndz! ni kweli ananipenda au coz some hw nafikiria kumfanya wf.
 
Huyo hata ndugu zako atakuwahawafurahii, kuna wasichana wa aina hii au anahizi kama unawajali sana kuliko yeye
 
Msichana akupendae kwa dhati na ana future na wewe atapenda kuwajua rafiki na ndugu zako...hapo huna chako mkuu...changanya na za kwako.
 
Piga acha, nipe namba zake nipige niache, nimpe Mwingine apige aache, naye atoe namba kwa mwingine apige aache, hamna mke hapo
 
huyo hana malezi mazuri maana ndoa ni ya watu wawili lakini inazungukwa na ndugu jamaa na marafiki atawezaje kuishi na wewe wakati watu wanaokuzunguka hawathamini??????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom