Huyu demu kanizidi ujanja naombeni maujanja.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Wasalaaaam,
Jaman mimi nimenasa demu katulia ile mbaya, nimependa sana anakazi yake fresh namimi ninakazi yangu fresh! Huwa nachati naye sana yaani sana! Katika maongezi yetu yeye hataki kabisa kuzungmzia masuala ya love wala ndoa, mkifika tu huko anakwambia "CHANGE TOPIC" mi napenda kiukweli nataka nimuoe awe wangu home kwangu, ila anaonekana kunizingua kihivyo yaani, upendo anao tena sana tu nimeuoa! sijamwambia nia yangu make nikitaka kutengeneza njia ananiambia change topic, nimfanyieje wajamen ili nimnase?
 
Kwa nini unataka kumuoa? yaani kumwona tu, hata maguu 18 hujaingia unatakla kumuoa? Take care to know her, before you decide taking any serious commitment. Marriage is not a rehearsal
 
aSANTE MKULU! NIMEKUELEWA NITALIFANYIA KAZI! NATAKA KUMUONA KWA SABABU ANAPATA SIFA ZOTE NITAKAZO MKE WANGU AWE NAZO!
 
punguza speed kaka kwani ataishia kukuchoka na mwishoe ataanza kukukwepa kwani kila uchao wewe wamtongoza tu...la msingi mfanye akupende.if u dont know how then make use of google.
 
Ila ni kweli kabisaaaaa! tena umenisaidia sana
 
kwenye mambo haya usisikilize anacho sema angalia matendo yake

1.
Angalia vitu kama proximity mnapokuwa pamoja. Hiki ni kitu ambacho mtu akupendaye hawezi kuficha. Kama huwa anakukaribia au kama ukimsogelea huwa hakuzuii basi ujue mambo poa. Pia kama awahi kukuomba kuwa pamoja hata kama kukupa lame excuse ya kumsindikiza sehemu ujue anaonyesha kukukubali.

2. Siku kukiwa na wanawake wengine karibu tumia fursa hiyo kuongea nao kirafiki ukionyesha uchangamfu huku ukimpa mgogo kidogo girlfriend wako, hii ni poweful body language ya kuonyesha kama unamkataa vile na kuwakubali wengine. Kama atakukaribia ilikulinda mali yake (wewe) ni dhahiri atakuwa anakupenda, kama hatajali ni kwamba hana mpango nawe, ukilazimisha utaumia.

3. Angalia marafiki zake wanavyokuwa nawe, je huwa wanakupa jicho la husuda? Kama ndivyo basi lazima atakuwa anakusema vizuri kama la basi huwa anakuinjoi kwa marafiki zake, cha kufanya nikuchapa lapa.
 
Wasalaaaam,
Jaman mimi nimenasa demu katulia ile mbaya, nimependa sana anakazi yake fresh namimi ninakazi yangu fresh! Huwa nachati naye sana yaani sana! Katika maongezi yetu yeye hataki kabisa kuzungmzia masuala ya love wala ndoa, mkifika tu huko anakwambia "CHANGE TOPIC" mi napenda kiukweli nataka nimuoe awe wangu home kwangu, ila anaonekana kunizingua kihivyo yaani, upendo anao tena sana tu nimeuoa! sijamwambia nia yangu make nikitaka kutengeneza njia ananiambia change topic, nimfanyieje wajamen ili nimnase?
Tafuta njia mbadala, anza kuuchuna ili ajae mwenyewe
 
Hajakuzidi maujanja ni wewe tu na maharaka yako.
Una muda gani toka umjue au kuwa karibu naye na kuchati and so on?. Tuliza ball kuwa makini na kama hataki hizo topics za mapenzi ziache zungumza anachotaka. Si unajua lazima mdada aringe kidogo asijionyeshe kuwa ni rahisi rahisi tu, ee.. Kama ni wako ipo siku utasema na atakusikiliza and I am telling u it will be interested to all of U.

Tulia kijana usiwe na maharaka.
 
kwa hayo maneno yako..unaonekana uko fasta sana kijana, punguza mwendo! warembo wazuri mambo hayo hawapendi tena usipoangalia utamkosa! hapa ni mwendo wa pole, mwisho wa siku atakaa tu kwenye mstari vumilia tu..wakati mwingine inaweza chukua hata mwaka mzima lakini mwiso wake ni utamu!
 
jifanye kumpotezea kwa muda mwenyewe atakaa anga zako,kuwa busy sana mwenyewe utamuona. ila siku ukionana naye akikuuliza usinitaje kwamba me ndo nmekwambia umpotezee,coz watu wa design yako wanakuwa mabushoke(mme *****)
 
Du! Pole sana mkali, lakini hiyo ni ishu ndogo sana jaribu kumpelekea gift ambazo zinashoo luv kwake na uambatanishe na massege kumwonyesha hisia ya mapenzi uliyo nayo kwake. na kisha umsikilizie.
 
Hayupo kwenye relation? Maana huenda ana strong commitment, kama hana basi jifanye kuwa mbali na issue za mapenzi uone mwelekeo wake.
 
Hapo mi bado napata wakati mgumu,sasa huyu mnaye mpa maujanja yeye au sisi tuna uhakika gani kama huyo demu hayupo hapa JF?Sasa kama maujanja haya atakuwa anayasoma si bado jamaa ataendelea kuwa na wakati mgumu?
 
kwenye mambo haya usisikilize anacho sema angalia matendo yake

1.
Angalia vitu kama proximity mnapokuwa pamoja. Hiki ni kitu ambacho mtu akupendaye hawezi kuficha. Kama huwa anakukaribia au kama ukimsogelea huwa hakuzuii basi ujue mambo poa. Pia kama awahi kukuomba kuwa pamoja hata kama kukupa lame excuse ya kumsindikiza sehemu ujue anaonyesha kukukubali.

2. Siku kukiwa na wanawake wengine karibu tumia fursa hiyo kuongea nao kirafiki ukionyesha uchangamfu huku ukimpa mgogo kidogo girlfriend wako, hii ni poweful body language ya kuonyesha kama unamkataa vile na kuwakubali wengine. Kama atakukaribia ilikulinda mali yake (wewe) ni dhahiri atakuwa anakupenda, kama hatajali ni kwamba hana mpango nawe, ukilazimisha utaumia.

3. Angalia marafiki zake wanavyokuwa nawe, je huwa wanakupa jicho la husuda? Kama ndivyo basi lazima atakuwa anakusema vizuri kama la basi huwa anakuinjoi kwa marafiki zake, cha kufanya nikuchapa lapa.

Hiyo moja tayari ishatokea tena sana! hiyo mbili sijawahi na hiyo tatu sijawahi subiri nitafanyia research uko juuu kwa maujanja!
 
Back
Top Bottom