Huyu dem ananizuga au yuko serious.

kaly

Member
Aug 6, 2011
63
3
Hi wana jf.
Mimi nikijana ambaye nategemea kuoa soon nina demu wang na ni wa kawaida sana ila nashangaa kwani demu anapenda kujisifia sana,mara nyingi namsikia akiniambia kuwa yeye ni mzuri,ana umbo nzuri,wanawake kama yeye ni wachache sana na kila akipigiwa mluzi tu au atongozwe njian lazima aniambie. Hapa kuna upendo kweli?
 
Omba kwa Mungu akutafutie mwanamke, umpende nae akuheshimu.... huwezi kuoa "demu". Kumbe "demu " mwenyewe ni wa kawaida sana!
 
anakupenda ndio maana anakueleza vinginevyo angekuwa anamalizia huko huko kitaa
 
Salaam na wema kwako kijana; Mwanamke hupendwa kusifiwa na baadhi yao hujisifu kama ulivyonena, Lakini kuhusu kuoa....uelewe kuna aina nne (4) za w'ke yafuatayo:- 1. Uzuri wake. 2.Ukoo wake. 3.Mali yake. 4. Ucha Mungu wake. Sasa hapo chaguo ni lako. nakutakia heri.
 
Hi wana jf.
Mimi nikijana ambaye nategemea kuoa soon nina demu wang na ni wa kawaida sana ila nashangaa kwani demu anapenda kujisifia sana,mara nyingi namsikia akiniambia kuwa yeye ni mzuri,ana umbo nzuri,wanawake kama yeye ni wachache sana na kila akipigiwa mluzi tu au atongozwe njian lazima aniambie. Hapa kuna upendo kweli?

Inabidi siku moja umpe shushu la ukwee.....
mwambie ye ni wa kawaida sana.
 
Anakupenda ndo maana anakuambia. Huoni wewe unamuona wa kawaida wakati wenzio wanamsifia? Open your eyes bwana. Kwana wanaume anakusifia hadi unamshangaa. Mtu anakuona kucha za vidole vya miguu na hapo ni njiani tu mnasalimiana! Na hapo mupenzi ana 10 yrs nabhajawahi ziona. Hatareee!
 
Si na wewe umuambie kuwa hakujawahi kkutokea mwanaume handsome kama wewe na pia kila ukipita njiani mademu wanakushobokea sana na pia hata kazini watu wanaomba urafiki lakini unawachomolea
 
"ANAZUGA" co wote waliomtongoza ndio alio kuambia, ukichunguza sana anaokuambia kuwa wamemtongoza ni watu ambao unawafahamu au ndugu zako wa karibu.
 
Hi wana jf.
Mimi nikijana ambaye nategemea kuoa soon nina demu wang na ni wa kawaida sana ila nashangaa kwani demu anapenda kujisifia sana,mara nyingi namsikia akiniambia kuwa yeye ni mzuri,ana umbo nzuri,wanawake kama yeye ni wachache sana na kila akipigiwa mluzi tu au atongozwe njian lazima aniambie. Hapa kuna upendo kweli?

Inawezekana tangu muanze mahusiano yenu, haujawahi kumsifia hata mara moja! Yeye akirudi kwenye kioo anajiona analipa. Akipita mtaani anasifiwa na kuambiwa ni mzuri. Huenda ndg na marafiki zake nao pia wanamsifia kwa uzuri wake. Na naamini kuwa mpaka na wewe umemtokea na kuamua kufunga naye ndoa, pia ulivutiwa na uzuri wake. Sasa mbona haumsifii mpenzio? Mwenzio anakushangaa unataka kumuoa wakati haujauona uzuri wake, ndiyo maana huenda anajaribu kukukumbusha kuwa yeye ni mzuri.

Hebu jaribu kumsifia kila siku anapovaa, anapotembea na anapokula uone kama ataendelea kujisifia mwenyewe! Acha mawazo negative bana, utakosa bahati. Ungekuwa umefumania au umesikia hbr zisizo nzuri juu yake, hapo ungekuwa na haki ya kulalamika.
 
Kwa sababu ni demu wako ndio maana anafanya hivyo.
Ila kama angekuwa mpenzi wako asingefanya hivyo
 
Teh teh teh teh.......!
Ni tabia tu tumetofautiana na kuna watu wanapenda kusifiwa sana hata kama hizo sifa hana.
Ila uwe unamsifia na wewe lol.....wa nje wanamsifia si ili wapate kwa maana kuna baadhi ya watu ukiwasifia basi utatunukiwa wewe mpaka ushangae.
 
Back
Top Bottom