Huyu Daniel Naftal naemuona hapa Star tv ndie anaetaka kuwa m/kiti wa BAVICHA taifa??

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,005
1,195
mbona mwepesi sana.mada inasema maslahi ya taifa ya vijana yeye anazungumzia chadema inawenye viti wa nne tangu ianzishwe,,,,,,anashindwa kuweka mada vizuri kuweka hoja nini kifanyike ama ccm imekosea wapi ndio mana vijana wana haha.napata shida sana baada ya Heche inawezekana bavvicha kufa
 
Attachments

  • dan2.jpg
    File size
    19.9 KB
    Views
    336

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
DANIEL Anaongea hivyo vile kijana wa CCM anapwaya sana, sasa hapo ni kwenye mjadala unajibu hoja za mpinzani na unaweka hoja za msingi, hivyo ukiona anapiga porojo ni vile kisandu anasema sio mwanasiasa wakati alikuwa CDM na sasa yuko NCCR, Kijana wa CCM/JABIR OMAR MAKAME anaongea ujinga inabidi ahame kwenye mada kumjibu ujinga wake/kumwelemisha
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
mbona mwepesi sana.mada inasema maslahi ya taifa ya vijana yeye anazungumzia chadema inawenye viti wa nne tangu ianzishwe,,,,,,anashindwa kuweka mada vizuri kuweka hoja nini kifanyike ama ccm imekosea wapi ndio mana vijana wana haha.napata shida sana baada ya Heche inawezekana bavvicha kufa

Ndiyo vijana anaowapenda Mbowe hao,Kusema kweli kama uongozi wa CHADEMA taifa ungekuwa makini kama unavyodai ungehakikisha vijana wa wakati ule akina Saanane wanaongoza BAVICHA,Naamini CHADEMA watakuwa mafanikio pindi Mbowe akiondoka madarakani,My opinion over Mbowe will never change, He is the reason why CHADEMA is losing steam recently.
 
T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
Mpiga kelele tu huyu, hana hoja... Anaishia kuisifia chadema inayomwagia watu tindikali na walisha wengine sumu
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,873
1,500
Mimi ni mtaalamu wa COGNITIVE na IQ. Ili kuiepusha CDM kutokuwa na viongozi MISUKULE na VILAZA kama CCM, mimi nipo tayari kuwafanyia cognitive and IQ tests bure kwa wanaCHADEMA wote wanao aspire kupata uongozi ndani ya CDM. Ninafanya hivi kwasababu ninaipenda nchi yangu Tanzania. Wazo kama hili nilishawahi kulipeleka kwenye uongozi wa juu wa CCM lakini nikadharauliwa na kupuuzwa, kwamba cognitive and IQ sio vigezo vimojawapo vya kuwapa viongozi wa CCM.
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
DANIEL Anaongea hivyo vile kijana wa CCM anapwaya sana, sasa hapo ni kwenye mjadala unajibu hoja za mpinzani na unaweka hoja za msingi, hivyo ukiona anapiga porojo ni vile kisandu anasema sio mwanasiasa wakati alikuwa CDM na sasa yuko NCCR, Kijana wa CCM/JABIR OMAR MAKAME anaongea ujinga inabidi ahame kwenye mada kumjibu ujinga wake/kumwelemisha

Utetezi wa kipuuzi kweli huo,Huoni kwamba lile ndiyo jukwaa la vijana kuonyesha kwamba wana uelewa mkubwa wa masuala ya ndani ya nchi na ya kimataifa na hivyo kuwavutia watu wengine ambao hawapo CHADEMA sasa kukipenda Chama kwa kuamini kina watu wasomi hususan vijana wenye weledi mkubwa na mambo mbalimbali muhimu yanayolihusu taifa letu na hivyo kujenga imani kuwa hiki Chama kipo tayari kuwa mbadala wa CCM kwenye uongozi wa nchi?By his being complacent and less analytical of important things matter to our nation,He has blown away any chance he had of vying for any leadership position within the Party unless the Party's top guns help him to leapfrog the rest of the contenders for the spot!
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Mbona jamaa mzee atakuweje mwenyekiti bavicha wakati umri wake ni zaidi ya miaka arobaini.
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Utetezi wa kipuuzi kweli huo,Huoni kwamba lile ndiyo jukwaa la vijana kuonyesha kwamba wana uelewa mkubwa wa masuala ya ndani ya nchi na ya kimataifa na hivyo kuwavutia watu wengine ambao hawapo CHADEMA sasa kukipenda Chama kwa kuamini kina watu wasomi hususan vijana wenye weledi mkubwa na mambo mbalimbali muhimu yanayolihusu taifa letu na hivyo kujenga imani kuwa hiki Chama kipo tayari kuwa mbadala wa CCM kwenye uongozi wa nchi?By his being complacent and less analytical of important things matter to our nation,He has blown away any chance he had of vying for any leadership position within the Party unless the Party's top guns help him to leapfrog the rest of the contenders for the spot!

There is always a long and hard way to economic freedom, not every moment is needed to make steps forward, some are important but not necessary.
 
kurya

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
510
0
mbona mwepesi sana.mada inasema maslahi ya taifa ya vijana yeye anazungumzia chadema inawenye viti wa nne tangu ianzishwe,,,,,,anashindwa kuweka mada vizuri kuweka hoja nini kifanyike ama ccm imekosea wapi ndio mana vijana wana haha.napata shida sana baada ya Heche inawezekana bavvicha kufa

Nafkiri pamoja na wewe kufuatiria mjadala mzima hukujariwa kujua ama kuelewa kinachoongelewa.
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
There is always a long and hard way to economic freedom, not every moment is needed to make steps forward, some are important but not necessary.

Africans need to change our mentality, We blame others for being corrupt,immoral and unscrupulous yet we are doing exactly the same thing. We want a change within our country and the opposition parties leaders required to lead by example to show us that they're the agents of the change they claim to be.By ignoring these little things yet very vital to the prosperity of our Nation we are holding our Nation back.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,336
2,000
Ndiyo vijana anaowapenda Mbowe hao,Kusema kweli kama uongozi wa CHADEMA taifa ungekuwa makini kama unavyodai ungehakikisha vijana wa wakati ule akina Saanane wanaongoza BAVICHA,Naamini CHADEMA watakuwa mafanikio pindi Mbowe akiondoka madarakani,My opinion over Mbowe will never change, He is the reason why CHADEMA is losing steam recently.
Sijui Ben Saanane ana umri gani kwa sasa, lakini kama umri unamruhusu ni vema akajitosa tena kugombea kipindi hiki.
 
Shemeji

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
260
0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom