Huyu dada, ni Mzuri wa Sura,Umbo na Rangi. Lakini Usiku silali Kabisa

Nmejaribu mara kadhaa kwa mapenzi tu namwamsha kumwambia alale vizuri ila dk tu anaanza tena kukoroma. Changamoto sana. Binafisi naweza lala na muziki ukiwa juu au mtu anaangalia movie kwa sauti ila si kukoroma. Inanipa shida sana kwa kweli.

Kulala na mtu anayekoroma kweli ni changamoto. Uwe unamfinya alale vizuri huku ukitafuta tiba
 
Hua analala chali?? Kama analala hivo mara nyingi mtu hukoroma, mnunulie **** vifaa vya kuvaa vinasaidia kuondosha hiyo adha
 
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.

ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.

Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.

Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.

Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.

Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
Piga show mpka asubuhi halafu we toka nenda kazi yeye muache alale
Ukiarudi ww lala ya apike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
loving eyes can never see kijana hujapenda bado unamtamani tu huyo dada kwa uzuri wake mtu ukipenda mbona huko kukoroma utahisi nyimbo za celine dion,plus kama huwezi kabisa ungeshakuwa umejaribu kumtafutia dawa kabla hujaja kumwanika hapa

Ha ha ha ha ha umenifurahisha eti celine dion
 
Eehh ndo hivyo mkuu yaani mapenzi banah yana nguvu ya ajabu askiwambie mtu

Tena haya mapenzi ya ndo mna miezi michache mmeanza kudate mbona chongo unaliona kengeza maanake mi raha tupu

Sasa ye mwenzetu kadate miezi michache tu tayari kashaanza kukosoa majukwaani kapenda kweli huyu??

Atakua hajapenda huyu
 
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.

ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.

Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.

Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.

Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.

Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
kuna vidude flani vya kuziba masikio ukilala vipo kama vispomji nunua then tia maskioni akianza kukoroma.... usimnyanyapae coz izo ni involuntary actions she cant control by her self
 
hivi anapokuja kwako amefuata kulala? kwake au kwao halali? acha ufala huo....
 
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.

ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.

Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.

Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.

Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.

Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
Duuuh!
 
mkuu shukuru kwa hilo maana wengine wanajamba usiku kucha,mpaka hata wachawi wenyewe wanakimbia
 
loving eyes can never see kijana hujapenda bado unamtamani tu huyo dada kwa uzuri wake mtu ukipenda mbona huko kukoroma utahisi nyimbo za celine dion,plus kama huwezi kabisa ungeshakuwa umejaribu kumtafutia dawa kabla hujaja kumwanika hapa
 
Uzito wake ni wa kawaida tu ndugu yangu.sielewi tatizo sasa litakuwa nini maana ni changamoto sana kwangu.
Pole though unapaswa kumsaidia. Moja ninachofikiria yawezekana ana nyama za puani, huwa zinasababisha mtu kukoroma,
Pili kutokana na hizo nyama labda alishafanyiwa operation kuziondoa lkn kukoroma huwa hakuishi kabisa
Tatu sina uhakika sana yawezekana ana pumu kuna wachache huwa inawasababisha kukoroma.
Suluhisho ni kumpeleka checkup kwa daktari bingwa wa pua, masikio, koromeo aka ENT Surgeon akafanyiwe uchunguzi. Ni hayo tu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom