Huyu bwana mdogo Ibra mbona kaanza kukopi nyimbo za Harmonize mapema hivi

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,316
Leo nikiwa kwenye bodaboda nimebahatika kusikiliza wimbo alioimba na boss wake dizaini wimbo ni Kwangwaru mwanzo mwisho.

Hii si njema wakati huu anapojaribu kutengeneza Identity yake, ajaribu kuwa unique hizi mambo za copy zitamuharibia.
 
kama sio kuishiwa mbinu basi walifanya kama kiki ili wazungumziwe bt ubaya wa copy wimbo ukichuja haunaga ladha tena
 
Ni mm masikio yangu au mbona hiyo style ya kwangwaru sijaisikia kwenye ile nyimbo. Ni hit song acha wivu dogo katoa mkwaju ule sio mchezo.
 
Chukua nyimbo za harmonize zoote .ndo una pata kwangwaru OG..sizani kama atakuja kupata hit nyingine kama iyo kwa siku za karbuni, Hivyo acha airudie rudie tuakizani ana weza leta maajabu

Dark Side

Kwangalu ni wa harmonize pia, ndie mtunzi

Haya diamond hit song zake ambazo zimepata most viewed ni alizoimba na harmonize
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom