Huyu binti Kanishangaza sana! Sijamwelewa kabisa

Huyu binti tumekutana kwenye mitandao ya Kijamii. Yeye mwenyewe akanipenda. Nami nlipomwangalia nikamwona ni mzuri anapendeka.

Far more she is working na anaishi na wazazi wake. So pesa hazimsumbui.anazo coz hana majukumu na kwao wapo vizuri.

Binti ni mweupe sana tu kiasili,umbo la wastani hana chura kubwa. Ana sura nzuri.kiufupi analika na mwanaume yeyote yule na unaweza enda naye popote kwa majidai.

Shida ni siku anataka nikamle.nilimwambia its ok tafuta Hotel unambie nije.akashtuka."love mimi ndo nitafute Hotel?" Nikamwambia Yes. Kwani shida nini hapo?

"Akasema jamani yaani nilipie hotel kwenda kuti.wa?" Nlimshangaa. Nlimshangaa sababu yeye ndo alitaka nikamle.sasa anataka mimi nikalipie kwa suala ambalo yeye ndo analitaka! Nlimshangaa sana.

Ningetaka mimi huduma ningelipia.sasa yeye ndo ka initiate hilo suala anasema yupo so horny.nikamwambia unasemaje.akanambia love njoo uninanii... Sasa yaani nyege zake yeye nikagharamie mimi? Hii ni akili ya wapi?

Nimemkatia mawasiliano since that day.maana nilimwona ni kilaza hajaelimika.sasa ameanza tena kutuma texts za kunisalimia. Namcheck tu anavyotaka tena kujilengesha. Atafute wanaume wa kugharamia nyege zake.siyo mimi.
Yaani umenikumbusha kisanga cha mshikaji wangu hapa mtaani.

Huyu jamaa yangu alikuwa anamtia demu fulani hivi ila si demu wake, ni mtu mzima kiumri shinda mshikaji wangu. Basi yule mama kila akitaka kutiwa anampigia simu jamaa na kumwambia atafute Guest, jamaa akawa anafanya hivyo hapo mwanzoni.

Jamaa ilikuwa inamuuma sana, siku ya siku jamaa akamtolea demu nje na kumwambia leo sina hela lipia wewe Guest, demu akakataa na jamaa akamtema. Baada ya wiki demu anampigia simu jamaa na kumsema huku akimkashifu.

Wanawake bwana, sijuwi wana akili gani?
 
Wana akili za kipumbavu. Yaani anataka yeye akatiweh halafu gharama aingie mwanaume?

Mi sioni kama ni sawa. Mwenye hamu ndio aandae mazingira nami siku nikiwa na hamu nitajipanga. But unakuta sometimes kama hivyo jimama nalo eti linataka nikalipie guest wakati lenyewe ndio limetaka show.

Sasa ndio anachofanya huyu binti. Yeye ndio ana nyege. Ila mimi ndio nikalipie yeye kuondoa nyege zake.

Yaani umenikumbusha kisanga cha mshikaji wangu hapa mtaani. Huyu jamaa yangu alikuwa anamtia demu fulani hivi ila si demu wake, ni mtu mzima kiumri shinda mshikaji wangu. Basi yule mama kila akitaka kutiwa anampigia simu jamaa na kumwambia atafute Guest, jamaa akawa anafanya hivyo hapo mwanzoni. Jamaa ilikuwa inamuuma sana, siku ya siku jamaa akamtolea demu nje na kumwambia leo sina hela lipia wewe Guest, demu akakataa na jamaa akamtema. Baada ya wiki demu anampigia simu jamaa na kumsema huku akimkashifu. Wanawake bwana, sijuwi wana akili gani?
 
Mwenye uhitaji ndio agharamie. Mimi ndio maana huwa sitaki wanwwake wa uswazi kama nyie. Mnawaza kuhudumiwa
Wanaume wa sikuhizi mna matatizo ka huna hela girlfriend wa nini, ulipiwe hotel kabisa acheni kujizalilisha
 
Huyu binti tumekutana kwenye mitandao ya Kijamii. Yeye mwenyewe akanipenda. Nami nlipomwangalia nikamwona ni mzuri anapendeka.

Far more she is working na anaishi na wazazi wake. So pesa hazimsumbui.anazo coz hana majukumu na kwao wapo vizuri.

Binti ni mweupe sana tu kiasili,umbo la wastani hana chura kubwa. Ana sura nzuri.kiufupi analika na mwanaume yeyote yule na unaweza enda naye popote kwa majidai.

Shida ni siku anataka nikamle.nilimwambia its ok tafuta Hotel unambie nije.akashtuka."love mimi ndo nitafute Hotel?" Nikamwambia Yes. Kwani shida nini hapo?

"Akasema jamani yaani nilipie hotel kwenda kuti.wa?" Nlimshangaa. Nlimshangaa sababu yeye ndo alitaka nikamle.sasa anataka mimi nikalipie kwa suala ambalo yeye ndo analitaka! Nlimshangaa sana.

Ningetaka mimi huduma ningelipia.sasa yeye ndo ka initiate hilo suala anasema yupo so horny.nikamwambia unasemaje.akanambia love njoo uninanii... Sasa yaani nyege zake yeye nikagharamie mimi? Hii ni akili ya wapi?

Nimemkatia mawasiliano since that day.maana nilimwona ni kilaza hajaelimika.sasa ameanza tena kutuma texts za kunisalimia. Namcheck tu anavyotaka tena kujilengesha. Atafute wanaume wa kugharamia nyege zake.siyo mimi.
Naona wewe mgeni kwenye hayo mambo ya mitandao ya kijamii, huenda unachat na dume au mwanamke ambaye hata siye unayemuona kwenye picha yuko kwenye mission za kukuibia hata buku kumi.

Ukiona demu mzuri kwenye profile anajipendekeza kwako kwenye mitandao ya kijamii jiulize mara mbili
 
Back
Top Bottom