Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

ni kweli mkuu, lakini kwa huyu nimeshindwa. nimejaribu kumtumia card za mapenzi, dedication za nyimbo za wakina jeniffer Lopez hadi ule wa "when i need you...just close my eyes.." na ule wa my "heart will go on" lakini wapi. nimemwimbia hadi ule wimbo wa ratipha wa mb doggy. Mia

dah yaan n kwakuwa natumia simu 2,ningekutwanga like..ah ha ha ha ha ha ha ha ha bado kdogo ongeza juhud,mtoto anaelekea kibla huyo mshikie kisu tu..
 
vipi ndoa yako imeishia wapi mzee wa .mia

hahahaahahaa...!!. jamani munamuona ndetichia? anataka kumpeperusha ndege wangu. jamani mimi sipendi uchokozi. munaona anavyo nichokoza eeh?. mimi hakuna ndoa yoyote wala nini. huyu tuna visa naye ndo maana ananiwekea ka uzibe. nipo single natangaza. Mia
 
Nahic atakua anashindwa kutofautisha maisha yako ya jf na uhalisia wako,nakushauri mwonyeshe huo utofauti ili amin kile unachomwambia na akukubalie ombi lako!onyesha hica zako kwa vitendo keshachoka maneno mwenzio!

mkuu ndo hivyo nataka kujua. nifanyeje? nashangaa watu wawili tu ndo wamenipa maujanja wengine wote porojo. haya na wewe sema, ungekuwa ni wewe ungethibitishia vipi. Mia
 
hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia

mkuu wewe si ulisema hutumii fb eti ya watoto! au nimekunukuu vibaya??
 
Nakupenda pia mpenzi mwaa, 2ma vocha tena darlin, afu ni2mie lak kwa mpesa ya shopin..lol

hii ndo id yako nyingine nini? sema tuziunganishe. mbona umenistua? yaani mwandiko wako kama yeye kabisa hata hiyo mwaa anandika hivyo hivyo. Mmwaa..!!. Mia
 
Figganigga leo kafunguka....:lol:!

Nina wasiwasi unahudumia mkaka mwenzio......wewe hujajua watu wanajua kuigiza kwelikweli.....utadanganywa na sauti nyoyoro...POLE

keren_ vipi bana? mbona hunipi mstali sasa. mi nkajua ukija kwisha habari yake. huyu nakuhakikishia haki ya Mungu ni demu. Mia
 
Duh kamtaja mpaka xg? Mbona yalishapita hayo...hivi hajui kama huwa hauwafuati ila wanakufuata lol... Si unajua she doesnt like pressures.. Yule anapenda mambo yaende slow step by step.. Be patient..

ndio wakati navuta pumzi nahitaji kupata maneno ya kumchombeza chombeza. Mkuu sijajua wengine wanatumia mbinu gani hadi wanapata. marafiki zangu wote wa jf wameshapata. bado mimi tu, bahati mbaya ninayempenda haeleweki, sijui ananipenda au hanipendi. Mia
 
Ukimuuliza anasemaje?
 
Nakupenda pia

Mkuu wewe unanidanganya. unataka nianze kutapatapa nikose pote. siku ile nilikuomba nizae na wewe ukakataa, ukasema eti unaye wa kwako. eti unampenda sana. yeye ana mtoto tayari lakini wewe huna. nikakubembeleza nikuzalishe lakini ukantolea nje. leo kweli umenipenda au unantania. mwenzio nahitaji kuanza maisha ya ndoa so nipo serious kama vipi sema nibadilishe mawazo kama. tunaandikishana kwa invisible kabisa kama ukinikimbia unanilapa inakula kwako. Mia
 
dah yaan n kwakuwa natumia simu 2,ningekutwanga like..ah ha ha ha ha ha ha ha ha bado kdogo ongeza juhud,mtoto anaelekea kibla huyo mshikie kisu tu..

asante. lakini shida yangu ni mistali ya kutongozea. tuseme hauna hata mmoja?. Mia
 
Mkuu wewe unanidanganya. unataka nianze kutapatapa nikose pote. siku ile nilikuomba nizae na wewe ukakataa, ukasema eti unaye wa kwako. eti unampenda sana. yeye ana mtoto tayari lakini wewe huna. nikakubembeleza nikuzalishe lakini ukantolea nje. leo kweli umenipenda au unantania. mwenzio nahitaji kuanza maisha ya ndoa so nipo serious kama vipi sema nibadilishe mawazo kama. tunaandikishana kwa invisible kabisa kama ukinikimbia unanilapa inakula kwako. Mia
mwenzako alikuwa staki nataka siunaoana jina lake kabana kaachia
 
wewe jamaa ni noma umeiva kweli nimeipenda hyo staili yako ya kutukana

unatukana halafu unaomba msamaha, unaangalia je kashakomaa kimapenzi au bado. lakini ukiona ameanza huntishi kitu katika wanaume na wewe umo? mimi siwezi penda mtu kama wewe. jua huyo hajakomaa kimapenzi. lakini ukiona amekaa kimya halafu kesho yake anakuuliza kwa upole kulikoni ulimtukana jua huyo anatia matumaini ya kuwa mke. Mia
 
Back
Top Bottom