figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
- Thread starter
- #81
Kabla hujafika mi nishatakutangulia, yaani hapa anawachora tu we na figga then anacheeeeka!! Kasema hajibu mpaka aunt yake aje! Lol
inawezekana mkuu. ameniambia niache kilaji nikakubali, akasema nisiwe naenda club nikakubali, akasema nitulie nisiwe nawafokea na kutukanana jf nikakubali. lakini yote hayo hataki kunikubalia ombi langu. tangu mwezi may mwaka jana ananiambia bado ananisoma lakini siamini. Mia