Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Why are frowning? You no likey Fignig?
Why are frowning? You no likey Fignig?
Lizzy?
Mia mbili
wakati wote unamuona JF,anaweza kuwa ni kidume,no wonder anakuchunia,duuh hata vocha unamtumia????
hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia
Aisee!
Pumba express. . . . .
Na ukipendwa na figganigga hamna kukataa
ni sawa na kuigomea polisi jamii
Ngoja nikamtafute aje hapa ajibu mashitaka...mianisaidie dada angu jamani. nampenda sana. Mia
nisaidie dada angu jamani. nampenda sana. Mia
Lol, tumsubiri huyo binti aje tumwulize kwa nini ameuteka moyo wa figganigga!
Hapa naona unatuletea fibes,mimi siamini kama humu JF KUNA mwanadada wa kuomba vocha,waliomo humu are bigger then thatee mtu wangu hata vocha natuma. huwa ananitext eti figga eeh nimefulia mshikaji, ntumie hata vocha basi. mi natuma lakini cha ajabu hata simuingii kichwani. Mia
Hapana. Ni Mwajuma!
Angalia ndugu avatar isijekudanganya hatimaye ukaoa jini.
Ngoja nikamtafute aje hapa ajibu mashitaka...mia
Ila kakondoo kanapenda. . .Mungu hapendi......lol!!
Afu si umeskia
hamna kukataa
ni polisi jamii huyo
Polisi ndio wanakuaje?
Ndiyo!