Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,568
Nawasalimu wakuu na wadogo!
Niende kwenye mada;
Kidogo mimi ni mtaalam wa maswala ya kisaikolojia/sayansi inayojihusisha na tabia za binaadam na uwezo/ufanyaji kazi wa akili kitaalam branch of science deals with human behaviour and mental process.
Nilikutana na binti mmoja 25 ofisini kwangu akanieleza kuwa yeye ana mchumba wake na mara zote wamekuwa wakikwazana kwa kuwa yeye hasikii raha au hafurahii raha ya kufanya mapenzi kabisa tena sio kufurahia tu bali anaumia sana wakati wa mapenzi.
Ktk moja ya tiba tulizomshauri kitaalam ni kuwa ajaribu kusahau mapito yake ya mapenzi/traumatic events kama aliwahi kuumizwa au kuchukizwa na mapenzi au lah na pia tulimshauri mpenzi wake ajaribu kumwandaa kwa mda mrefu vya kutosha wakati wa kufanya mapenzi but kwa bahati mbaya mpenzi wake alisafiri ikabidi aendelee to na dose za kisaikolojia.
Watoto wa kike bhana baada ya kuona nipo deep sana akatamani afanye na mimi huenda akaona changes na mimi nikifata code of conduct za kazi zangu si sawa but mtoto ni mzuri sana nikajikuta nashawishika tukacheki afya yupo sawa mambo yakaendelea.
La haula mtoto hana kisimi, labia majora wala labia manora na awali alikana tatizo hilo nilipomuuliza pia nikagundua kuwa yeye hakuwa anajua kama amefanyiwaga huo ukatili nikajitahidi kwa mara ya kwanza ktk maisha yake akafika kileleni japo kwa mbinde sana.
My take;
1, Tuache ukatili wa kijinsia kuwakeketa watoto wakike
2, Tupende kuwaona wataalam pindi tuwapo na changamoto za mahusiano
3, Kina kaka tutumie mda wa kutosha kuwaandaa wapenzi wetu
4, Tufahamiane vizuri kabla ya kufanya mapenzi ili tujue tunaanza vipi na tunamaliza vipi.
NB,
Nitajibu maswali yote yatakayoulizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app