Huyu binti hana hisia za mapenzi hata kidogo kisa ukeketaji

Kuna mambo mengi watu hupotoshwa sana kuhusiana na ukeketaji!Ukweli kuhusiana na ukeketaji.
01.Ukeketaji ni ukatili ni kweli
02.Unamuathiri MTU kisaikolojia karibia maisha yote,ila MTU akipata ushauri itamfanya aenjoy mapenzi tena,hiyo ni kweli
03.Inaathiri ufikaji kileleni(ni kweli)ila kuna ambao hawajakeketwa na hawafiki kileleni pia.
04.Kuna aina tofauti za ukeketaji,Na kila aina inadegree zake katika kupunguza pleasure wakati wa sex.
05.Waliokeketwa wanafika kileleni kabisa,maana kinembe sio kitu pekee kinachowezesha ufikaji kileleni,japo kutokana na psychological trauma mwanamke hujisikia kutokukamilika hivyo kutokuwa huru,,kama mjuavyo pleasure ya mapenzi inategemea psychology yako,utamu huanzia kichwani.,
Kama muathirika wa tatizo hili,nashuhudia kusumbuliwa kisaikolojia na kujihisi kutokukamilika kwa miaka 14 ya maisha yangu !,
Ila baada ya kuja kusema jf,nimepona kwa asilimia 80℅ na ninaendelea kupona!
Naipenda jf sana,
Msiwakebehi waliokeketwa,wala kuwatenga,sio kilema,mkiwashambulia as hawawezi kitu kwenye mapenzi,ama hawatawahi kuenjoy inawaathiri sana!,mkumbuke tuu kukeketwa kwenyewe ni Janga wanaloishi nayo,na hawakupenda kufanyiwa hivyo

Ungerudi kijijini kwenu kuwapa elimu ingependeza zaidi, hadi hii leo kuna watu wanaishi mjini wanaotokea kwenye imani hizo wanasafirisha watoto wao kipindi cha likizo ya mwisho wa mwaka kwenda kijijini na wakifika kule wanarubuniwa kuwatolea watoto wa kike ili wasiwe viruka na njia (kwa madai yao) japo katika jamii zinazokeketa nadhani ni watu wa Musoma na wachaga tu ndio angalau wanatulia kwenye ndoa bila kuchepuka kirahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukatili mbayaa kabisaa..
Kwani hawa w3anawake wanakeketwa na nani?si wanakeketana wenyewe?sisi tuwasaidie nini katika hilo na lipo mikononi mwao?Mkuu samahani hii siyo lawama yetu ni yao wenyewe!Sawa?
 
KWA HIYO UKAMBOFYA MTOTO WA WATU? NDIO MAADILI YA WATALAAMU WETU SIKU HIZI NA YEYE ANAKUWA SEHEMU YA TATIZO, MAAMUZI YAKO KAMA DARASA LA SABA VILE NA SISI DARASA LA SABA TUNAFURAHIA WASOMI KAMA NYIE MAANA MNATU INSPIRE KUJIONE KUMBE NASI TUNA UPEO MKUBWA TATIZO TU HATUJAKAA DARASANI.
m

Hahaaaa ulivyomaliza nimecheka
 
Back
Top Bottom