Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
Ana cheza na roho yake huyu ameshachoka kuishi nini?
Mkuu HGYTXK unaulizia chenji ya Radaimeshaliwa na kpanya Mfisadi.. umelala wapi wewe?Hiyo gari ilipandaje huko juu na inaonekana imepaki mlangoni kabisa wakati ata kama ni gorofa zenye parking juu mara nyingi huwa ni nyuma.Acha kutuchezea akili utatusahaulisha chenji yetu ya rada.
moja ya duniani,moja ya aheranamjua huyo, anazo mbili
hata mimi ni mweupe shosti au unamaanisha wadhungu?watu weupe wajanjawajanja hawa