Huyu bibie anaichezea Roho yake kweli...............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109
556688_10151133239150658_690056516_n.png

Ana cheza na roho yake huyu ameshachoka kuishi nini?
 
Hiyo gari ilipandaje huko juu na inaonekana imepaki mlangoni kabisa wakati ata kama ni gorofa zenye parking juu mara nyingi huwa ni nyuma.Acha kutuchezea akili utatusahaulisha chenji yetu ya rada.
 
Hiyo gari ilipandaje huko juu na inaonekana imepaki mlangoni kabisa wakati ata kama ni gorofa zenye parking juu mara nyingi huwa ni nyuma.Acha kutuchezea akili utatusahaulisha chenji yetu ya rada.
Mkuu HGYTXK unaulizia chenji ya Radaimeshaliwa na kpanya Mfisadi.. umelala wapi wewe?
kipanya-monday.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HGYTXK unaulizia chenji ya Radaimeshaliwa na kpanya Mfisadi.. umelala wapi wewe?
kipanya-monday.jpg

Du,ndio ninaamka muda huu,kumbe zilishaliwa du.Na hiyo mipanya yenyewe mbona minene hivyo?.Kama vp mm natoka Mtwara ni lazima niifanye mboga hiyo mopanya,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom