Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,704
- 2,363
Yaan unapoteza muda kumsifia dume jenzakoNi ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
mkuu hukamatikiNi ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
Huyu jamaa sijui anaandika nn??..... ukiangalia post zake + comment zake zotee utaona kuwa afya yake ya akili sio nzuriNi ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
Hhahahah. du hatari sanaYaan unapoteza muda kumsifia dume jenzako
Baraka hana hela za kulisha mtu miaka 10 usibabaishwe na picha za instagramNi ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
Hahahaha.... ndo hivyo chief, nisaidie kuzitaja chennel za kijanja ili na mm nianze kuangalie aseeaaahahahaaa! Mkuu Jitu Jeusi huna lolote sema tu ulitaka kutuonesha nawewe una flat tv, ila nmegundua kumbe wew bado ni bonge la mshamba miaka 100 afu unaangaliaje channel za ajabu ajabu kama EATV. Ama kweli ushamba mzigo.
Anahitaji maombi aseemkuu hukamatiki
Watu wanachanganyikiwa na show offBaraka hana hela za kulisha mtu miaka 10 usibabaishwe na picha za instagram
mkuu watake radhi wote wenye majaliwa ya rangi nyeusi iliyowiva!si ustaarabu kukashfu au kukejeli majaaliwa ya Mungu!Nadhani urafi wake unasababishwa na rangi yake ya mwili .... ni mweusi sana ata akivaa nn anaonekana yupo rafu
Acha dharau kijana unaujua ukoo wa huyo unayemwambia hayo maneno???heshimu familia za watuNi ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.