Huyu Baraka de Price yupo rafu sana.... utafikiri sio kioo cha jamii

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,703
2,359
51e7e8957be76e140f097af88e8261d8.jpg

afd39ec347dba7947699c111b986f004.jpg
 
Kashfa nyingi kwa baraka inabidi ajichunguze japo zingine zinaonekana za kiushabiki lakini kuna kitu ndani yake kimejificha pengine hata yeye nwenyewe hajakitambua ila ni muda muafaka wa yeye kuchunguza mapito/mwenendo wake mzima wa life styl yake.

Kama uko hapa we baraka nakushauri kama mtu wa kawaida take time uyachunguze vizur makashfa unayopewa kisha fanyia kazi yale unayoona ni kweli na sio ya kiushabiki, nakubali kazi zako ila kashfa zako sizikubali usiporekebisha jina lako leo kesho hutauza chochote zaid ya kujinadi tu kuwa huna bif na mtu.

Ok poa badae dogo
 
Ni ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
 
Yaan unapoteza muda kumsifia dume jenzako
 
aaahahahaaa! Mkuu Jitu Jeusi huna lolote sema tu ulitaka kutuonesha nawewe una flat tv, ila nmegundua kumbe wew bado ni bonge la mshamba miaka 100 afu unaangaliaje channel za ajabu ajabu kama EATV. Ama kweli ushamba mzigo.
 
mkuu hukamatiki
 
Huyu jamaa sijui anaandika nn??..... ukiangalia post zake + comment zake zotee utaona kuwa afya yake ya akili sio nzuri

Ukitaka kujua utimamu wa mtu tazama post and comments zake..... binafsi bro usicomment ili ujulikane
Samahani najua wewe n ndugu yangu kabisa
 
Ni ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
Baraka hana hela za kulisha mtu miaka 10 usibabaishwe na picha za instagram
 
aaahahahaaa! Mkuu Jitu Jeusi huna lolote sema tu ulitaka kutuonesha nawewe una flat tv, ila nmegundua kumbe wew bado ni bonge la mshamba miaka 100 afu unaangaliaje channel za ajabu ajabu kama EATV. Ama kweli ushamba mzigo.
Hahahaha.... ndo hivyo chief, nisaidie kuzitaja chennel za kijanja ili na mm nianze kuangalie asee

Kuhusu flat umekosea mkuu.... hiini smart tv curved uhid.
 
Nadhani urafi wake unasababishwa na rangi yake ya mwili .... ni mweusi sana ata akivaa nn anaonekana yupo rafu
mkuu watake radhi wote wenye majaliwa ya rangi nyeusi iliyowiva!si ustaarabu kukashfu au kukejeli majaaliwa ya Mungu!
Nakuombea kwa Mola akusamege na makufuru yako hayo!
kuwa light skinned sio usafi wala kupendeza kama ilivyo kuwa dark skinned sio uchafu wala kutopendeza
 
Ni ' rough ' kimwonekano hivyo ila nina uhakika kilichopo katika Bank Account yake kinaweza ' Kukulisha ' Wewe, wana Familia wako na hata Koo zako zote mbili kwa miaka hata 10 ijayo na bado ' Chenji ' ikabaki. Nyie ndiyo baadhi ya ' Mambwigira / Washamba ' wachache mnaoamini kwamba kuvaa ' Suti ' au kuwa na ' Kitambi ' ni dalili ya ' Utajiri ' wakati kumbe unaweza kukuta mule katika ile ' Suti ' kuna Tsh 800/= ya nauli ya kwenda na kurudi mjini na ndani ya kile ' Kitambi ' kuna maji tu ya Kandoro na Dagaa wa Kigoma wakiwa wanatiririka na kuserereka huku maharage yakiwa yamekula ' pozi ' tayari kutengeneza ' bomu ' la kuwajambia Watu hovyo ndani ya ' Madaladala '.
Acha dharau kijana unaujua ukoo wa huyo unayemwambia hayo maneno???heshimu familia za watu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom