Bila shaka unamaanisha Dr. Secelela Malecela... ni Sece, na sio ceche!! Dr. Mwele (Mwelentuli) na Dr. Cese ni watu wawili tofauti!!Kuna yule Dr ceche aliyekua anatoa elimu ya covid kwenye social media ndio huyo mwele
Bila shaka unamaanisha Dr. Secelela Malecela... ni Sece, na sio ceche!! Dr. Mwele (Mwelentuli) na Dr. Cese ni watu wawili tofauti!!Kuna yule Dr ceche aliyekua anatoa elimu ya covid kwenye social media ndio huyo mwele
Je Hawa ni watoto wa mzee malecelaBila shaka unamaanisha Dr. Secelela Malecela... ni Sece, na sio ceche!! Dr. Mwele (Mwelentuli) na Dr. Cese ni watu wawili tofauti!!
Kiafrika mtoto ni mtoto tuu, hatuna cha mtoto wa kambo wala mtoto wa nje wote ni watoto tuu.
P
Mkuu victory02 , kwanza hongera sana, you have a gift inayoitwa "ayes for details", jicho lako linaona kuliko jicho la kawaida, hivyo unakuwa so notty, watu wa type yako mkimdangaya utashtukiwa!.Mkuu yule dada mliyekuwa mnarusha naye matangazo ya wiki ya Azaki kama siyo mzuri kwenye live coverage,pumzi ilikuwa inakata na kupelekea kuongea kwa shida
Wewe ni mwanasheria na hujui maana ya heirship?????? Kwamba lemutuz is the only heir ???? Kaka unajua Sheria ya Mirathi vizuri na Kama hujui please just refresh your mind kupitia Sheria upya.Facts are stubborn things, Le Mutuz ndie mtoto wa kwanza wa kiume wa Mzee JS Malecela. Baada ya Le Mutuz, Mzee JSM alipata watoto wengine wawili wa kiume, Senyagwa na Ipyana ambapo both are deceased, hivyo William, Le Mutuz ndio the only heir to Mzee JSM, wengine ni mabinti wawili Dr. Mwele na Jaji Mwendwa. Mimi nimesoma primary class moja na Mwendwa, kisha nikasoma sekondari moja na kaka na dada, Senyagwa na Mwele, wao wakiwa A level mimi nikiwa O-level
P
Hivi mayalla mwanasheriaWewe ni mwanasheria na hujui maana ya heirship?????? Kwamba lemutuz is the only heir ???? Kaka unajua Sheria ya Mirathi vizuri na Kama hujui please just refresh your mind kupitia Sheria upya.
Just to make you comfortable, siku hizi watoto wote ni heirs mzee usije ukamshauri kwamba yeye pekee ndio heir simply ndio mtoto wa kiume pekee.
Huyu ni mwanasheria tena alikuwa madarasa mawili nyuma wakati nipo UDSM.Hivi mayalla mwanasheria
Vp ashawahi kusimamia kesi mahakamani
Au ndiyo janjanja ya mzee huyo kutoka kota
Za drive in
Ova