- Thread starter
- #41
DuuuhBasi bibi yangu alikua tofauti sana na bibi wengine sijui kwasababu alikua nesi bibi alikua anafinya sana yule daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuhBasi bibi yangu alikua tofauti sana na bibi wengine sijui kwasababu alikua nesi bibi alikua anafinya sana yule daaah
Hufai kuwa mzazi mtoto anatakiwa acheze michezo 468 kwa siku ndiyo utajua kama ana afya njema.
Kamwe usimzuie mtoto kucheza ili mradi mchezo hauna madhara kama hapo kupanda ngazi
Utakuwa umemtekenya hujampigaThubutu yake... huyu wangu nimetoka mtia kibao mpaka mwenyewe nimemuonea huruma ila yeye anacheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaah afu ukute baba mwenyewe ndio jiweNakumbuka tulining'inia hivyo tukakata bawaba. Aisee tulipata taabu sana.
Tulikuwa na baba yetu mkubwa huyo anakata makofi si ya nchi hii.