Huyu anamzidi vipi degree of education holder

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Jamaa amepata course mbalimbali za ICT anakazi nyingi za ICT amezifanya na kwa kweli ukimfuatilia yuko deep.

Mjamaa mwingine a na degree ya education physics na ICT chuo kikuu kamanmasomo yako ya elective.... Sasa ukiwaweka pamoja wa education anaonekana hana nondo... He Tupi nimchukue hapa..ushauri
 
sasa kama unataka mtu wa ICT mchukue huyo wa juu maana ushasema ana kazi nyingi kafanya tayari huyo wa degree inaonekana ni wale wa vyeti practical anaweza kukuangusha
 
Unapotaka kuajiri mtu unaangalia pia ataanza kukuingizia faida baada ya muda gani,na hapo ndo unaangalia experience.Vile unaangalia atadumu kwenye kazi kwa muda gani kwa maana ya productie time length hapo unaangalia elimu.Sasa anayepata mtu bora ni yule anayepata mwenye vyote.Kwa upande wake jiulize unataka mtu ambaye utatumia muda kumueleimisha hapa mwanzoni lakini baadaye umtumie kwa muda mrefu au unataka mtu ambaye ataanza kukutengenezea faida kwa kufanya kazi nzuri huku ukijua kuwa baada ya muda fulani ataanza kuwa obsolete.All in All nashauri chukua huyo msomi halafu huyo mzoefu awe msaidizi wake
 
Hiyo concept yako ya mtu kuwa obsolete kwasababu hana cheti umekosea sana. Mtu atakuwa obsolete atakapoacha kujifunza mambo mapya na kwenda na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
 
Huyu mzoefu anajua vyote vya Hutu aliyesoma ICT darasani....amekuwa potential sana. Nimeamua Huyu jamaa aliye na exposure anauwezo mkubwa nine mtest kwenye vingi
 
Askari aliyewahi kwenda vitani (uwanja wa medani) si sawa na askari ambaye hajaenda ingawa wote wanaweza wakawa wana-rank sawa.

He who has ever been at the battle field and actually fought, obviously has value added; he knows the terrain, he knows the locals. He may win the second battle on that same battlefield.

The fresh one may not, unless he endeavors to borrow some battling skills, suitably relevant to that particular battlefield, from the experienced soldier...
 
Hiyo concept yako ya mtu kuwa obsolete kwasababu hana cheti umekosea sana. Mtu atakuwa obsolete atakapoacha kujifunza mambo mapya na kwenda na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
Uko sahihi;na kwa uzoefu wangu pia amateurs ni rahisi zaidi kuwa obsolete kuleka watu ambao wana formal learning ya field husika na gharama za kuwaendeleza zaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu huwa wana experince lakini hawana organized knowledge.Mfano mimi mwenyewe elimu yangu ni ya kidto cha nne lakini kwa exposure tu naweza nikakaa na mtu wa masters na ukahisi labda mimi ni more competent lakini katika kujitafuta nimegundua kuwa pamoja na uzoefu wangu kuna vitu vinakuwa vigumu kwangu kwa sababu sina organized knowledge kichwani but nina experience moja ambayo kwa hakika na kwambia wakati mwingine huwa najikubali but amini usiamini najua ninachokisema.Academic discipline ni muhimu sana katika kumuandaa mtu
 
Kwenye IT, utaalamsi vyeti bali ujuzi na uzoefu.
Sio IT tu!Hata taaluma nyingine in hivyo hivyo tu!
Kuna mtu mmoja amesoma advance tu lakini anafundisha vizuri sana Basic Maths watoto wanapata A za kutosha,wakati huo kuna watu wana hadi masters lakini akifundisha watoto wanalikimbia somo.
 
Back
Top Bottom