Huyu anajifunza au ndio anavuta sigara kubwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu anajifunza au ndio anavuta sigara kubwa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Naona hii bado hapo Tanzania hajafika Watoto wadogo kujifunza kuvuta sigara kubwa Bangili kasheshe kweli hii dunia ya sasa kila kitu ni maendeleo tu ahhhhh.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini 'bangili'?
  Kameishika kwa uzoefu!
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,453
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Stimu ya kuvuta huanza pooole pole....huyu atakuwa ametumwa kuwasha na ameamua kupasha, ndivyo watoto wengi hujifunzia kuvuta ...
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiki ndicho kizazi kinachoandaliwa na jk kwani kwa hali ya watoto walivyojaa kila kona ya jiji sidhani kama baada ya miaka 5 - 10 kama kutakuwa na usalima kwa watoto
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Watoto watakuwa ni Majambazi wakubwa tu .
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitu ganja, msuba, mmea, sigara kubwa, stim, majina kedekede, yaani wabongo wakipenda kitu hutoa majina mengi
  mfano mwengine wazinzi, wanawake utasikia dem, shori............... endeleza nimechoka
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  duh hii hatari .
   
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  like father like son,source ni mkuu wa kaya
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Huku nje tunaita Majani au jina lingine tunaita dongo.
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huyu dogo ameanza kitu mapema sana..! na kama hawa wapo hapa tz basi nchi inako elekea ni kubaya mno narudia tena inaelekea kubaya mno..! na huko hakutakua na mtu hata mmoja mwenye fikira za maendeleo na ndio mambo ya kupinduana yanapo anza kama huko congo..! wale waasi wa congo wanachukuaga madogo na wanajifanya wao ndio ma-rambo na ma shozniga..! na guess what makes em feeling that way..! ni bhange tuuuu..! so ni mbaya mbaya mbaaaayaaaa..!
   
 11. jumbenylon

  jumbenylon Senior Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah wapi? Watoto wenu mnawatuma dukani wakawanunulie sigara na pia mnawaambie waziwashe! Mnategemea nini???
   
Loading...