Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Ndo matatizo ya kushtukiza, huenda wasaidizi wake walikua hawajui kama atahitaji kanzu kwahiyo alipowashtukiza kwamba anataka kuvaa ikabidi washone fasta wampime kwa kumkadiria kwa mbali tu.
hiyo imenunuliwa mtaa wa mosgue
 
Hivi wabaongo wenzangu, hata hili la kanzu ni la kumshambulia rais wetu mwema? Kama inawauma kutoalikwa kwenda kula pilau basi kajiungeni na wenzetu wa Kibiti muone mtakavyo changamkiwa.
 
Hayu jamaa shida yake ni kwamba ana papara sana. Hamna kitu ambacho huwa anakifanya kwa umakini. Ndiyo maana issue zake zote zimejaa ubabaishaji. Low IQs tu ndiyo wanaomshabikia
 
Back
Top Bottom