Huyu aliyejiunga Hispania ni Lokosa yule au mdogo wake? heeeeee

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Ebanaaaeeee hi Ameira si ipo la liga jameni? hawa wa west africans hata kama ni magarasa ila wana mawakala very aggresive kwa kweli yaani msuva angekuwa ni mpopo leo angekuwa anacheza hata ubelgiji au uturuki


Screen Shot 2021-09-23 at 18.51.02.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom