n mmoja ya raia wa kitanzania waliokuwa wamelewa madaraka kupiltiliza, hata kama una nafasi kubwa kiasi gani, no matter where, huwezi udhalilisha utu wa mtu mwingine.
tusimtofautishe na Maria Antoineti, alipoambiwa kwamba wananchi hawana mikate, akajibu kama hakuna mikate basi wale keki.
Exactly Gwangambo. Akiwa waziri wa fedha alitoa kauli hiyo bungeni kusisitiza jinsi ilivyo muhimuMtakula nyasi, ndege ya Rais lazima inunuliwe