Huyu Alitoa Kauli Gani Iliyoshtua Wengi Tanzania?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
SPECIAL IMAGE6.jpeg
 
n mmoja ya raia wa kitanzania waliokuwa wamelewa madaraka kupiltiliza, hata kama una nafasi kubwa kiasi gani, no matter where, huwezi udhalilisha utu wa mtu mwingine.
tusimtofautishe na Maria Antoineti, alipoambiwa kwamba wananchi hawana mikate, akajibu kama hakuna mikate basi wale keki.
 
kibongobongo utakaanga maji au kupiga konzi kinyago..
 
Wadhungu hawawezi tamka jina ' nyerere'.
Ni kweli aliwahi kusema kitu kama hicho kuhusiana na jina la uwanja wa kimataifa wa ndege Dsm.Lakini ipo kauli ingine iselemagazi ninayoilenga na ambayo inajulikana sana.
 
Last edited by a moderator:
Mtakula nyasi, ndege ya Rais lazima inunuliwe
Exactly Gwangambo. Akiwa waziri wa fedha alitoa kauli hiyo bungeni kusisitiza jinsi ilivyo muhimu
kwa Tanzania kununua ndege ya rais!
Baada ya jibu hili sahihi la Gwangambo, natangaza kufunga thread. Atakayechangia baada ya hapa
hatonikuta!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom