Huyu afanyweje? Anaelekea kushindikana sasa!

Mkuu judgement, kwanza thread nzito kama hii kwa nini umeiweka chichat badala ya mmu?
Anyway,matatizo haya ni ya kawaida ,unakuta mke kwa mume,wakwe na mashemeji mpole,kwa wafanyakazi( walinzi,housegirl,dereva etc) anakuwa kiumbe wa ajabu na anaweza hata kudiriki kuwanyima chakula au kuwapa makombo.Dawa ya hili tatizo ni kumpiga mkewe total ban ya kukanyaga kwenye biashara zake,atakasirika atafura lakini mwisho atazoea. Haiwezekani biashara iendeshwe kwa mtindo huu with such a high labour turn out,haiwezekani,no way,vinginevyo utaishia kuua mtaji na wote mlale njaa na watoto wasisome.
 
Kiongozi hapa umenena!
Nimekusoma vema!
Kumbe sometyms unakuaga mzima, sometyms mmh!
 
Mkuu chitchat ndiyo massage ya brain ya bishanga,in chichat you let yourself loose,shida nyingi mjini kaka,maisha full stress.
 
mume anabidi afanye maamuzi magumu sasa................akizidi kumchekea mwisho wa siku mizigo yote ataibeba yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom