Huyu Admin wa Ruvu Shooting

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Wakuu ningependa kumfahamu admin wa Page za Ruvu Shooting mtandaoni.

Huyu amekuwa na uandishi wa aina yake kabisa tofauti na wa timu zingine kwani amekuwa akiandika kwa uandishi wa kuchekesha hata kama wamefingwa.

Pia ni admin pekee aliyetumia page ya Twitter ya Ruvu shooting kuzitakia timu za Namungo na Simba kila la heri walipokuwa wakicheza mechi za kimataifa. Hakuna timu ingine iliyokuwa na uzalendo kama Ruvu.

Screenshot_20210417-193004_Twitter.png


Screenshot_20210417-194358_Twitter.png


Screenshot_20210417-194427_Twitter.png


Screenshot_20210417-194459_Twitter.png
 
"timu zinapata mapumziko mafupi kwa kunywa maji, Ruvu shootingtuangalie isije kuwa ni mtego "
 
Naipenda sana style yake, hata kama hutaki kucheka ukisoma tweet yake itabidi ucheke tu.
 
Anawashinda professional,mpira furaha mkuu sio stress
Mkuu 'banter' kwenye page Za timu hata huko nje wanafanyaga sana tu ila sio kulalamika eti wamenyimwa penat ,linesman anatoa sana offside hiyo ni very unprofessional
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom