Huyooo, huyooo, pigaaaa, uaaaaa, mwizi wa mke wa mtu, pigaaa, chinjaaaa..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyooo, huyooo, pigaaaa, uaaaaa, mwizi wa mke wa mtu, pigaaa, chinjaaaa..!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jay One, Dec 28, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,054
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  Duuuhh...!! Dunia hiii... jana Sinza, movie ya bure, ngumi mkononi, jamaa kafumwa akitafuna mke wa mtu, eti watu nao wakamfukuza mwizi wa mke wa mtu na kumpa kipondooo, jamaa nyanga nyanga, katoka na bukta pekeee, mwanamke kabaki analia ila hata kupigwa hajaguswa na mumewe kampakia ktk taxi na kumpeleka home kwake, mke wa mtu sumu, sijui home kwao itakuahe hiyo jana.
  Aisee kapigwa, duuuhh....!! Nimeamini kitu kitamuuu kikigeuka kinakuwa kichunguuu....
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  haya, wache wafu wazike wafu wao
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  nikimfumanie harudi nyumbani
   
 4. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hakuna mwizi wa mke bwana,
  watu wanakubaliana wenyewe hlf mmoja anitwa mwizi,
  wakupigwa ni huyo aliyesaliti ndoa yake

   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,176
  Trophy Points: 280
  Backward societies are usually over-obsessed with sexual chastity and primitive lynching.
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wanakubaliana wote,wanaenjoy wote,baadaye wa kupigwa na kuitwa mwizi mwingine
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mademu kibao halafu unaangaika na sumu bora angekufa tu kutokana na uzinzi...
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,054
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  This is true, tena labda demu hakumwambia wazi kaolewa au la, labda demu kapenda pesa kakubali, then jamaa kapigwa kama mbwa mwizi, it's unfair, inauma, yaani watu kibaooo ilikuwa ni huyoooo kama mwizi kweli....
   
Loading...