Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini?

Sasa hapo nani mchafu Finest, kwangu mie mwanaume ndo baradhuli mkubwa unatongozaje rafiki wa mchumba wako.

Hivi kama msichana unajua kabisa nina mahusiano na rafiki yako halafu nikaja kukutongoza halafu still ukanikubalia well well utaanza kunilaumu mimi nini?? You know exactly natoka na rafiki yako na bado ukakubali at the same time una uwezo wa kusema no vile vile
 
tatizo ni hiyo hali ya kuwa EASY GOING WOMAN....!YANI VERY EASY GOING HADI INABOA!mtu anakubali kabla hajatongozwa
Btw kua EASY “GOING“ haina maana ya mtu ni mrahisi kutongozeka bali mtu ni mwepesi/mrahisi kudeal with...hata mimi ni easy going...EASY fits the part though!
 
Hivi kama msichana unajua kabisa nina mahusiano na rafiki yako halafu nikaja kukutongoza halafu still ukanikubalia well well utaanza kunilaumu mimi nini?? You know exactly natoka na rafiki yako na bado ukakubali at the same time una uwezo wa kusema no vile vile
Unaniuliza utadhani mimi ndie...mtafute huyo mhusika nadhani ndo wenye majibu...i don‘t!!Ila kama hutojali embu niambie huyo anaenza kumtongoza rafiki wa mchumba wake hana chakulaumiwa ehh?!Kaazi kweli kweli!
 
Sasa hapo nani mchafu Finest, kwangu mie mwanaume ndo baradhuli mkubwa unatongozaje rafiki wa mchumba wako.
Pamoja na ubaradhuli wa huyo mwanaume kwanini na huyu msichana akubali ili hali anajua fika kwamba rafiki yake naye ana mahusiano na huyo mwanaume
Unaniuliza utadhani mimi ndie...mtafute huyo mhusika nadhani ndo wenye majibu...i don‘t!!Ila kama hutojali embu niambie huyo anaenza kumtongoza rafiki wa mchumba wake hana chakulaumiwa ehh?!Kaazi kweli kweli!
He/She should have know better
 
The Finest nimekusoma sana hapo hivi wewe una kakichaa leo au mwezi umeandama?? Huyo Mwanaume ni mshenzi mkubwa sana amejicomit kwa mwanamke na pete juu bado anatongoza??? Huyo msichana amemkubali kwa sababu kuna kitu anachotaka wala si mapenzi hata kidogo. Narudia kusema huyo Mwanaume ni mshenzi sana hana adabu kabisa eboo!!!!
 
Ama kweli not everything that looks precious is precious,ya dunia mengi.

Pamoja na ubaradhuli wa huyo mwanaume kwanini na huyu msichana akubali ili hali anajua fika kwamba rafiki yake naye ana mahusiano na huyo mwanaume

He/She should have know better
 
The Finest nimekusoma sana hapo hivi wewe una kakichaa leo au mwezi umeandama?? Huyo Mwanaume ni mshenzi mkubwa sana amejicomit kwa mwanamke na pete juu bado anatongoza??? Huyo msichana amemkubali kwa sababu kuna kitu anachotaka wala si mapenzi hata kidogo. Narudia kusema huyo Mwanaume ni mshenzi sana hana adabu kabisa eboo!!!!
Hivi Dena upo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom