Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini?

Ni aibu sana. Tena aibu Kubwaaaaa! Utauweka wapi uso wako kwa kumchukua mchumba wa mwenzio? Nenda kamwombe msamaha, ukiwa umefuatana na mtu anayenheshimu sana, ili yaishe. Ujue huyo mwanaume atakuja tu kumpenda mwingine na akuache kama alivyomwacha rafiki yako. Uchungu utakupata. Bora wewe urudishe urafiki na dada yule, mumteme jemee ili akome kudhalilisha wanawake. Akatafute mwingine mpya, atakuwa amejifunza somo (labda). Kama ana "sikio la kufa" basi akafe peke yake. Na kama hamjapima ngoma, kapime ujue ni mzima? kama si mzima anza dawa mapemaaaaaa. Pole sana kwa mhusika. Mungu akawe faraja kwako. Tena umshukuru Mungu, kwamba umemgundua jamaa, ukamjua kabla ya ndoa. Je, ungeshafunga ndoa ukagundua ungefanyaje???? Mungu wako anakupenda sana dada.
 
Yule kamata tupa kule

Acha ankal wangu akae hapa

Salamu kwa Kimey na wanafunzi wote wa Tumaini Yunivasite.

Tarehe 26 iko ukingoni.
next friday mida ya saa sita usiku nachukua usingizi TUPA KULE weka hapa vitz ingia barabarani.....!sa moja asubuhi stendi ya kwanza kerege namchagua mbuzi aliyenona kamata shingo TUPA KULE....!leta hapa kisusio na miguu ya deuc na serengeti za vuguvugu.....!
 
Unakamata mahindi ya kuchoma unatupa kule maganda, choma matatu..... ita Epson anafukuza jogooo unakamata shingo tupa kule unachemsha supu unapiga.....

Unaingia kwa mwanadio unaita kivaluu unatupa kulee unagida mafunda matatu ya milk stout....unapigia GY simu anakuja anatupa kule kibiriti watu wanachemsha supu

TUPA KULE mabaamedi, unaweka hapa TABENAKO siku ya Ekaristi takatifu

TUMSIFU YESU KRISTU!
 
unakamata mahindi ya kuchoma unatupa kule maganda, choma matatu..... Ita epson anafukuza jogooo unakamata shingo tupa kule unachemsha supu unapiga.....

Unaingia kwa mwanadio unaita kivaluu unatupa kulee unagida mafunda matatu ya milk stout....unapigia gy simu anakuja anatupa kule kibiriti watu wanachemsha supu

tupa kule mabaamedi, unaweka hapa tabenako siku ya ekaristi takatifu

tumsifu yesu kristu!
UNACHUKUA MA-BAR MAID UNA tupa kuleeeeee!

unachukua soda unatupa kuleee unaweka valuu hapa
 
Unakamata mahindi ya kuchoma unatupa kule maganda, choma matatu..... ita Epson anafukuza jogooo unakamata shingo tupa kule unachemsha supu unapiga.....

Unaingia kwa mwanadio unaita kivaluu unatupa kulee unagida mafunda matatu ya milk stout....unapigia GY simu anakuja anatupa kule kibiriti watu wanachemsha supu

TUPA KULE mabaamedi, unaweka hapa TABENAKO siku ya Ekaristi takatifu

TUMSIFU YESU KRISTU!
Niliyem-quote kwenye hii post unatupa kule lol!!!
 
hommie, UKITUPA KULEEEEE, sie wengine twaokota,
tunawapenda kweli hao broken hearted,
wewe ukitaka kutupa tu, sie twasema LETA HUKUUUUUUUUU................
Kupenda kuokota iko siku utaokota vibudu lol
 
hommie, UKITUPA KULEEEEE, sie wengine twaokota,
tunawapenda kweli hao broken hearted,
wewe ukitaka kutupa tu, sie twasema LETA HUKUUUUUUUUU................
Waharibifu utawajua tu
 
wakina dada ''baadhi'' wana roho mbaya sana....au sijui ndio mapenzi mnasema vijana....?
Nashangaa unavyong‘ang‘ani kwamba mdada ndo mwenye roho mbaya....huyo kaka yeye ndo mwenye nzuri?!?!Sema wote wanawake na wanaune baadhi yao wana roho mbaya....acha kua na upendeleo!!Huyo kaka asingekua mshenzi asingetoka na rafiki wa mchumba wake na huyo dada nae kama asingekua mshenzi asingetoka na mchjmba wa rafikiye‘!
 
Saa zingine nyie wadada mnajirahisisha sana
 
Nashangaa unavyong‘ang‘ani kwamba mdada ndo mwenye roho mbaya....huyo kaka yeye ndo mwenye nzuri?!?!Sema wote wanawake na wanaune baadhi yao wana roho mbaya....acha kua na upendeleo!!Huyo kaka asingekua mshenzi asingetoka na rafiki wa mchumba wake na huyo dada nae kama asingekua mshenzi asingetoka na mchjmba wa rafikiye‘!
tatizo ni hiyo hali ya kuwa EASY GOING WOMAN....!YANI VERY EASY GOING HADI INABOA!mtu anakubali kabla hajatongozwa
 
Kwani akikubali kabla hajatongozwa ndo inampa huyo mwanaume kibali cha yeye kua mshenzi?!Hana heshima?!Hajui neno hapana?!Acha kua biased.....hii ishu inahusu watu wawili wasio na utu and thats that!Hamna cha mwanamke kajilengesha wala kajirahisisha...unless huyo kaka alibakwa sioni mnachompendelea huyo mwanamke na kumwacha huyo kaka as if yeye hakua na jukumu la kumheshimu mchumba wake‘
 
Naona tunatupiana matusi ya reja reja sasa...
Hivi kama msichana unajua kabisa nina mahusiano na rafiki yako halafu nikaja kukutongoza halafu still ukanikubalia well well utaanza kunilaumu mimi nini?? You know exactly natoka na rafiki yako na bado ukakubali at the same time una uwezo wa kusema no vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom