Uchaguzi 2020 Huyu MC kwenye mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu ni nani?

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Habari za jioni wakuu
Naomba kuuliza wajuzi huyo aliyesimama na Binamu anaitwa nani ?

Na ana cheo gani uko CHADEMA?

Anaonekana he is very smart

Naomba kuwasilisha
Ei6HV_VWsAEWjpj.jpeg
EiyRB2FWAAI_xwZ.jpeg
 
Ndio maana mnarubunika aisee,

Sasa mtu kunyoa nywele low cut na kuvaa miwani halafu kupiga picha amepose ndio unakuja na conclusion kuwa ni very smart??
 
Ndio maana mnarubunika aisee,

Sasa mtu kunyoa nywele low cut na kuvaa miwani halafu kupiga picha amepose ndio unakuja na conclusion kuwa ni very smart??
Mwambie Jiwe mgombea wenu afanye kampeni mbinu za kuita wakurugenzi , kutumia tumeccm , kuandaa Askari Kama mawakala was CCM , Jechaism vimeshajulikana kimataifa havitasaidia .
Screenshot_20200927-194236.png
IMG_20200921_164455.jpg
Screenshot_20200918-020320.png
 
Kwa sisi ambao hatushabikii upande wowote wa kisiasa na tunaofuatilia kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kuna huyu "mwamba" MC wa CHADEMA mwenye sauti na punch nzito sijui anaitwa nani.

Hakika CHADEMA mmelamba dume kuliko uchaguzi wa 2015 ambapo aliyetumika kama MC, ndugu John Mrema alionekana kupwaya mno.

Huyu jamaa wa sasa ana ubunifu na amsha amsha ya hatari. Nadhani atakua ni mmojawapo wa viongozi waandamizi wa chama pamoja na timu ya kampeni.

Ningependa tumfahamu kidogo

NB: Kwenye picha ndio huyo aliyevaa suti
 

Attachments

  • 2532544_2.jpg
    2532544_2.jpg
    30 KB · Views: 1
  • 2532545_3.jpg
    2532545_3.jpg
    47.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom