Huwezi ukawa na akili ndogo ukamuelewa Dr Magufuli kile anasema au kufanya

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Awali ya yote nampongeza Rais wa jamuhuri ya muungano kwa kuleta mabadiliko ya kweli tangu kwenye uchumi mpaka kwenye kijamii.

Pamoja na harakati zake za dhati kumkomboa mtanzania bado wapo watu wachache wenye akili mgando na kupenda kula mezani kwa mabwana zao wanatumika tangia bungeni mpaka uraiani kumkosoa kiongozi huyu mkubwa wakitaifa wakifikiri eti wananchi tutawaunga mkono jambo ambalo sii kweli.

Katika dunia iliyostaarabika sisi watanzania Mungu katupendelea huyu Rais hajawahi kutokea ukiacha hayati baba wa taifa na hata yeye angelikuwapo leo huenda angemsifia sana kiongozi huyu wa taifa ambaye amejivika koti la mateso na maonevu ya wananchi wake mpaka na hifadhi zetu huyu Rais amejivika upendo wa ajabu sana.

Wanachadema na vyama vya siasa hamjui ni kiasi gani huyu kiongozi wetu wa kitaifa anasaisdia wanyonge wa taifa hili na sasa hali ya wanyonge kupata haki ni kubwa sana kuliko wakati mwingine wowote ule wa historia ya taifa hili.

Ni rais mkali na ni kiongozi wa kitaifa kweli anasimamia sheria kwa mkono wa chuma na huyu ndiye tulikuwa tunamtaka. Tuseme kweli tabasamu la Mh Kikwete limeleta madhara makubwa ndani ya serikali jambo limezua sintofahamu kwa kila anayejuwa ukweli. Watu walifanya ofisi za serikali ni ofisi zao za kuchuma matumboni lakini leo ukweli upo wazi safisha safisha haijamuacha mtu salama.

Rais huyu mtumbua majipu ameamua kujikita kwenye kufanya kazi na idara nyeti za usalama ameapa kuwatokomeza mafisadi papa na kurejesha sent zetu nyumbani.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Watu walizoea kuibia serikali na kufanya mambo ya ajabu chini ya miaka miwili kila mtu anasali kwa Mungu wake amsamehe nakuomba radhi mbele ya watanzania..
Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Wanaomuombea dua mbaya rais wetu mnapoteza muda maana amezungukwa na Mungu aliye hai. Hata wanyama porini tembo na faru wanajuwa taifa lina baba anayewapenda hata ardhi inatamka mema kwa kiongozi huyu na mbingu imeachia mvua ambayo haikuwahi kutokea kwa kipindi kirefu.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.
 
Awali ya yote nampongeza Rais wa jamuhuri ya muungano kwa kuleta mabadiliko ya kweli tangu kaenye uchumi mpaka kwenye kujamii.

Pamoja na harakati zake za dhati kumkomboa mtanzania bado wapo watu wachache wenye akili mgando na kupenda kula mezani kwa mabwana zao wanagumika tangia bungeni mpaka uraiani kumkosoa kiongozi huyu mkubwa wakitaifa wakifikiri eti wananchi tutawaunga mkono jambo ambalo sii kweli.

Ktk dunia ilio staarabika sisi watanzania Mungu katupendelea huyu Rais hajawahi kutokea ukiacha hayati baba wa taifa na hata yeye angelikuwapo leo uwenda angemsifia sana kiongozi huyu wa taifa ambaye amejivika koti la mateso na maonevu ya wananchi wake mpaka na hifadhi zetu huyu Rais amejivika upendowa ajabu sana.

Wanachadema na vyama vya siasa hamjuwi nikiasi gani huyu kiongozi wetu wakitaifa anasaisdia wanyone wa taifa hili na sasa hali ya wanyonge kupata haki nikubwa sana kuliko wakati mwingine wowote ule w historia ya taifa hili.

Nirais mkali na ni kiongozi wa kitaifa kweli anasimamia sheria kwa mkono wa chuma nahuyu ndie tulikuwa tunamtaka. Tuseme kweli tabasamu la Mh Kikwete limeleta madhara makubwa ndani ya serikali jambo limezuwa sintofaham kwa kila anaye juwa ukweli. Watu walifanya ofisi za serikali ni ofisi zao zakuchuma matumboni lakini leo ukweli upo wazi safisha safisha haijamuacha mtu salama.

Rais huyu mtumbuwa majipu ameamua kujikita kwenyebkufanya kazi naidara nyeti za usalama ameapa kuwatokomeza mafisadi papa na kurejesha sent zetu nyumbani.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Watu walizoea kuibia serikali nakufanya mambobya ajabu chini ya miaka miwili kila mtu anasali kwa Mungubwake amsamehe nakuomba radhi mbele ya watanzania..
Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Manao muombe dua baya rais wetu mnpoteza muda maana amezungukwa na Mungu alie hai. Hata wanyama porini tembo na faru wanajuwa taifa lina baba anaye wapenda hata ardhi inatamka mema kwa kiongoz huyu na mbingu imeachia mvua ambayo haikuwahi tokea kwa kipindi kirefu.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Jifunze kuandika

Kumbe kutokomeza mafisadi ni kuwapa vyeo vikubwa na kuwatunuku nishani?

Pole sana!!
 
Nyie yote anayofanya kwenu ni makosa, hata asaidie wanyonge na wanaoonewa anafanya vibaya, adhibiti wezi wa Mali za Umma ni mbaya hana jema kwa wachagadema,na wapinzani wa Nchi hii
 
Kazi ya vyama vya upinzani ni kuikosoa serikali iliyoko madarakani kikatiba. Hata kama ukosoaji huo unamhusu Rais. Kikubwa kila moja atimize wajibu wake.

Ninachokiona ni kuwa WaTz hawakuwahi kuzoea upinzani wa nguvu na wa kikatiba !!! Rais siyo Mungu , yuko pale kufanya anayoyafanya, ni kazi alioiomba !!! Ni mwanaadamu anaweza kutenda mazuri kwa maoni ya mleta mada, Lakini pia anaweza akatenda hovyo kwa kwa mtizamo wa wapinzani wake. Is normal
 
TumainiEl hakuna aliyekamilika,akubali kukosolewa,adhibiti mafisadi equally,siyo kwa wapinzani wake tu au aliokuwa haelewani nao,sheria zisimamiwe equally,siyo kwa wapinzani tuna hata hivyo nadhani wewe ndiye mwenye akili ndogo, wewe ndiye humuelewi,kwasababu sioni ukombozi kwa wanyonge,labda kwa wanaojipendekeza kama wewe.

Kungekuwa na dhamira ya dhati ya kutukomboa watanzania,asingeruhusu fedha za walipa kodi kutumika hovyo kununulia wabunge na madiwani wa upinzani kisha gharama kubwa kutumika kurudia uchaguzi.hizo fedha za marudio ya uchaguzi zingelipa/fanya mambo mangapi?
 
Nyie yote anayofanya kwenu ni makosa, hata asaidie wanyonge na wanaoonewa anafanya vibaya, adhibiti wezi wa Mali za Umma ni mbaya hana jema kwa wachagadema,na wapinzani wa Nchi hii
Takeaway all these nonsense that you r synthesizing to us.Majority of us are living miserable life.The so called.....and his appointees are enjoying national cake at the expense of poor.
 
Usione naongea hivi, naomba mnisamehe sababu saa nyingine nakuwa na frustrations zangu
He need revelations,unhumation in his leadership style is furiously growing and becoming customary activity among his shareholders of the govt
 
Awali ya yote nampongeza Rais wa jamuhuri ya muungano kwa kuleta mabadiliko ya kweli tangu kaenye uchumi mpaka kwenye kujamii.

Pamoja na harakati zake za dhati kumkomboa mtanzania bado wapo watu wachache wenye akili mgando na kupenda kula mezani kwa mabwana zao wanagumika tangia bungeni mpaka uraiani kumkosoa kiongozi huyu mkubwa wakitaifa wakifikiri eti wananchi tutawaunga mkono jambo ambalo sii kweli.

Ktk dunia ilio staarabika sisi watanzania Mungu katupendelea huyu Rais hajawahi kutokea ukiacha hayati baba wa taifa na hata yeye angelikuwapo leo uwenda angemsifia sana kiongozi huyu wa taifa ambaye amejivika koti la mateso na maonevu ya wananchi wake mpaka na hifadhi zetu huyu Rais amejivika upendowa ajabu sana.

Wanachadema na vyama vya siasa hamjuwi nikiasi gani huyu kiongozi wetu wakitaifa anasaisdia wanyone wa taifa hili na sasa hali ya wanyonge kupata haki nikubwa sana kuliko wakati mwingine wowote ule w historia ya taifa hili.

Nirais mkali na ni kiongozi wa kitaifa kweli anasimamia sheria kwa mkono wa chuma nahuyu ndie tulikuwa tunamtaka. Tuseme kweli tabasamu la Mh Kikwete limeleta madhara makubwa ndani ya serikali jambo limezuwa sintofaham kwa kila anaye juwa ukweli. Watu walifanya ofisi za serikali ni ofisi zao zakuchuma matumboni lakini leo ukweli upo wazi safisha safisha haijamuacha mtu salama.

Rais huyu mtumbuwa majipu ameamua kujikita kwenyebkufanya kazi naidara nyeti za usalama ameapa kuwatokomeza mafisadi papa na kurejesha sent zetu nyumbani.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Watu walizoea kuibia serikali nakufanya mambobya ajabu chini ya miaka miwili kila mtu anasali kwa Mungubwake amsamehe nakuomba radhi mbele ya watanzania..
Huyu ndio Mh Dr Magufuli.

Manao muombe dua baya rais wetu mnpoteza muda maana amezungukwa na Mungu alie hai. Hata wanyama porini tembo na faru wanajuwa taifa lina baba anaye wapenda hata ardhi inatamka mema kwa kiongoz huyu na mbingu imeachia mvua ambayo haikuwahi tokea kwa kipindi kirefu.. Huyu ndio Mh Dr Magufuli.
Na huwezi ukawa na akili kubwa na ukamuelewa. Labda usiwe na akili kabisa
 
TumainiEl Kuwaelewa watu aina yake unatakiwa uwe na akili ya ziada kweli kama mama anavyojitahidi kumwelewa mtoto wake asiyejua kutamka maneno
 
Hatulegei kamwe endeleeni kukosoa rais wetu usiwasikilize walizoea vya kunyonga ,hawawezi kuchinja we chinja tu
 
Back
Top Bottom